Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Nani yupo mlangoni anipokee jamani naja kama simba nauvunja ukimya kama maji mtungini na ugeni wa jukwaa kama mtoto azaliwaye ucku.
0 Reactions
3 Replies
573 Views
Habar wana JF,polen na msiba wa jembe wetu Kanumba Mungu amweke pema.amein,ninayo furaha kujitambulisha kwenu kama mwana jf hivyo naomba ushirikiano wenu,heri ya Pasaka kwenu wote.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naombeni mnikaribishe wana member
0 Reactions
3 Replies
637 Views
Kwanza poleni kwa msiba.
0 Reactions
2 Replies
946 Views
jamani hodi huku, naomba kuwasilim wanajamii wote nanaomba mnikarishe niwe mwanajamii mwenzenu, naishia kuwasilim leo
0 Reactions
7 Replies
913 Views
Hello everyone.
0 Reactions
5 Replies
815 Views
Hello Ladies and Gentlemen of Jamii Forums! Right and Correct Information at the Right time is the basic need of the contemporary modern human being
0 Reactions
4 Replies
705 Views
Nahitaji ushiririkiano wenu
0 Reactions
4 Replies
642 Views
Enyi wana JF. naja jukwaani na yangu machache ili kuzitafakari mada mbalimbali. Wote wenye fikra pevu nikaribisheni kwa uchache wa wivu, wepesi wa chuki, wingi wa upendo na uzito wa furaha ili...
0 Reactions
2 Replies
688 Views
naomba mnikaribishe mimi kamanda mwenzenu....pipozzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
0 Reactions
6 Replies
696 Views
Aslaam alyikum.Nipokeeni jamani
0 Reactions
1 Replies
665 Views
Asalam aleykum wote,naomba usajili na ukarim jukwaani,nipokeeni jamani.
0 Reactions
2 Replies
715 Views
salam wana thread! Mimi pia ni mgeni pande hii,nijejiunga jana ila mashkoro magen yamenifanya niwe na kimbele nyuma! Kimbele ni kwamba nilianza kuchangia thread na kupost zangu bila kuji...
0 Reactions
2 Replies
734 Views
Kutokana na umuhimu wa jf nimeamua nami kuingia jukwaani humu ili niweze kushiriki katika mambo mbalimbali ni matumaini yangu kuwa kuna ex-seminarians wengi ambao wamenitangulia ila nasema tupo...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mapya gani ndani?
0 Reactions
4 Replies
704 Views
HI!
Je nyoote mu wazima ndugu na jamaa?
0 Reactions
4 Replies
639 Views
Wajameni me member mpya,naomba mnipokee mnikaribishe,me mgeni ati!
2 Reactions
5 Replies
909 Views
ni muda mrefu nimekuwa nikitamani kujiunga JF lakini hatimaye nimefanikiwa kujiunga nitashirikiana na nyinyi wadau kuchangia yale yanayojiri kwa mustakabali wa maendeleo yetu vijana na taifa kwa...
0 Reactions
5 Replies
676 Views
Wapendwa wasomaji, naitwa Lennard, natoka Ujerumani na nilifanya kazi mwaka jana kwa Tanzania Renewable Energy Association. Bado nasoma gazeti ya Tanzania na minapenda kuhifadhi mawasiliano na...
1 Reactions
9 Replies
958 Views
Hodi wanyeji, naomba mnikaribishe.
0 Reactions
5 Replies
559 Views
Back
Top Bottom