"....Sababu tunayo,nia tunayo na uwezo tunao wa kuiondoa ccm madarakani.Tunataka dunia ituelewe kwamba tuna kazi moja tu,ya kuiondoa..." KWA MKWARA HUU,NINA HAKIKA...
Wakuu napiga hodi.nafurahi kujumuika kwenye jukwaa la ma 'great thinkers' kama nyinyi. You are all great and have been enjoying.sasa napiga hodi tuendeleze mjadala
Mahinga
Kwa Heshima na Taadhima wakuu wote hapa jamvini ninawaomba Kukaribia hapa,Nimechoka kuingia kama mgeni kwa muda mrefu sasa (Miaka kadhaa), Ni matumaini yangu tutakuwa pamoja hapa...Asanteni na...
Habari zenu wapendwa, nimeamua kujumuika nanyi katika jukwaa hili nategemea ushirikiano wenu wote tukiwa na nia moja to make Tanzania a better place. Ntashirikiana pamoja na wapenda maendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.