Ni mtanganyika halisi, nisiku nying nimefatilia na kufurahishwa sana na hoja n.k ndan ya jf, kwasasa nimeamua kuingia rasmi, so na mengi sana ya ukombozi wa nchi hii tutashirikiana n.k, asanteni...
habar ya miangaiko ya kimaisha ya kila siku nasikia JF,JF so leo nimeonabora niingie kwan nimeelezwa nawezatoa dukuduku zangu mbalimbali ambazo zinazunguka jamii kiujumla.
jamani nikaribishen na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.