Habari wazarendo wenzangu,,,nafurahi kuwa mmoja wa wazarendo kwa kujiunga na familia hii ya watu wenye fikra pevu juuu ya mwenendo mzima wa maisha yetu,,,hvo nasema hodiiiiiii
Hi Jf members.
Naombeni kampani yenu katika kutumia jukwa hili. Mimi ni mgeni kabisa ndo kwanza nimejiunga this week.
I hope ntajifunza mengi toka kwenu na wengine watajifunza meng toka kwangu...
Jambo JF members.
Napenda kujumuika nanyi ktk hili jukwaa. Hope tutaendelea kuchangia na kubadilishana mawazo yenye lengo la kusukuma mbele maendeleo yetu na taifa kwa ujumla.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.