Hahahahhahaha haloooooooooo kama naongea na sim vile.........mm ndio mfalme simba toka mbuga zilizo barikiwa mitaaa ya daresalaaaam nakula nyny vingunguti nalala tabata........siasa hapa ndio kwao...
heshima kwenu wana jf kwa michange yenu ambayo imekuwa na manufaa kwa wote..nichukue nafasi hii kujitambulisha kwenu kama mwana jf mpya.naomba kuwapa salamu.thank.
tutumie fursa hii kuleta maendeleo, kutoa taarifa muhimu kwa jamii,kujenga umoja kwa watanzania na pia kupanua fikra za watumiaji wa ukurasa huu. Amani kwa wote.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.