Nikiwa ni mgeni kabisa kwenye Forum hii nashukuru kwa kuwa mtanipokea na kunipa ushirikiano mzuri kama ule nitakaowapa Ninaitwa kajoli.com natoka pande za Simanjiro mie ni mtaalamu wa shughuli za...
Habari zenu,hivi kwa nini baadhi ya watu wakishakuwa maarufu wanajiona hawawezi kusalimia/kusalimiwa na watu wa kawaida? Na pia huenda mmekua pamoja mpaka miaka ya karibuni ila watajifanya...
Nawasalimu members wote Wa Hili Jukwaa Makini la watu makini Greater thinker... mimi hapa ni mgeni na nimeamua rasmi kujiunga katka jukwaa hili tarehe 2feb2012 kwani nimeona mengi mema ya...
Nafikiri ni mila na tabia za kiafrika kubisha hodi ili ufunguliwe! Kwa mila hiyo hiyo nami nagonga hodi ndani ya jukwaa! Nategemea karibu has kwa waungwana wote! Hata hivyo rabidDog tabia yake...
Kama kawaida ndugu katika jamii! Mdau mpya, katika mwaka mpya, na mawazo mapya ya mabadiliko katika jamii! Nagonga hodi natumai kufunguliwa mlango ndani ya nyumba nikaribishwe!! Shalom!
kwa muda mrefu nimekuwa nikisoma post kama guest..baada ya kunogewa na Jamiiforums sasa nimeamua kuingia mzima mzima hivyo wana jamvi naomba mnipokee. pamoja tumethubutu, tumeweza na sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.