Jamani i'm so hppy to be a member of z greater thnkz, i thnk i'm going to be reach in terms of gaining new knowledge from u also expect information from
Hongereni wana jf kwa kupambanua changamoto mbalimbali za wanajamii hii ,nani naomba kuunga mkono juhudi hizi za upambanuaji wa fikra mbalimbali hatimaye kuleta tija ktk maisha
Wapendwa wana JF Morogoro
Salaam, niko mji kasoro bahari mpaka J2 mchana. Napenda kukutana na members wote watakokuwa tayari.
Kama hauko Morogoro haikuhusu.
Natanguliza shukurani.
Wasalaam...
Mie nimeshidwa kuelewa kuhusu airtel money.Nilitumiwa sh.19,000 kwenye lain yangu ambayo ilikua ya zamani haina sehemu ya airtel money.Hivyo ikabidi kutengeneza lain nyingine yenye sehemu ya...
habari zenu ma bibi na mabwana...kwa mda mrefu nimekua nikijifunza vitu vingi kupitia humu sasa nimeamua kujiunga rasmi naitaji ushirikiano wenu,pamoja!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.