Nawashukuruni wana Jf,nimethibitisha u real great thinkers kwa ukaribishwo wenu:kuclick post hii kwangu ni ukaribisho mkubwa
Tushikiane pamoja katika kuijenga,kuiambia ukweli,kuiburudisha,kuikosoa...
Nimekuwa member kwa muda wa takribani miaka miwili sasa. nilikuwa nasoma thread mbali mbali na coment za member malimbali. hata hivyo kwa kipindi chote hicho nilkuwa mgeni coz nilikuwa kimya...
Nashuru wana jf wote kwa ukaribisho. Nimeupenda sana huu mtandao ila kutokana na ugeni wangu wa kutumia mtandao pamoja na uzoefu nimekuwa nikikosea sana kutuma post zangu, badala ya kukaa jamvini...
Nafurahi kuwa mmoja wa wanafamilia hii. Ni familia ya wasomi, familia ya wastaarabu, familia ya wazalendo na ya watu wenye mshikamano. Nipokeeni wapendwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.