Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Hod wangwana kwa zaidi ya miaka 2 sasa nimeka mgeni humu jamvini nikiwa kama msomaji.sasa nimeona ni wakati mwafaka kujisajili naomba mnipoke. SHUKRANI ZA PEKEE KWA MODS,MUNGU AWABARIKI
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ni mkongwe humu Jf ila nmeamua nishiriki kwa dhati sasa,aaaaah bandugu nikaribisheni basiiir
0 Reactions
13 Replies
7K Views
Cjui hata nisemeje lkn nipokeen hivyo hivyo 2 wana!
0 Reactions
10 Replies
877 Views
Mimi mgeni hapa jamvini, naomba wenyeji mnipokee!
0 Reactions
4 Replies
794 Views
Im new here,just passing
0 Reactions
4 Replies
767 Views
Am new here...hi to you all
0 Reactions
4 Replies
663 Views
HI!
nimejipanga kifikra kua pamoja nanyi 2lisongeshe maana nawakubali,nikaribisheni wana jf.
0 Reactions
4 Replies
756 Views
nnakama kaweek iv..nipokeen wenyej..na hngeren kw michango mizur ya maisha kw ujumla..ni mahal pazur huwez kutoka empty,nmechungulia kwa wik..nmenufaika..god bls u
0 Reactions
4 Replies
685 Views
Hi, members how are today? i am a newly registered member please don't get astonished to see me Regards, Nalumwa
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hi members, i am happy to join JF today
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wapendwa ndani ya jamii hii.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau naombeni ushauri we,dogo amezungusha(amepata ziro),Nimsaidieje?
0 Reactions
3 Replies
848 Views
Mambo vp wanajamii forum,nimechoka kupiga chabo wapenda sasa nimeingia mzima mzima,nipokeeni tulipeleke gurudumu hili sote,thnx.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Nafurai kuingia humu wandugu, si mgeni sana hapa JF nimekua mpitaji wa mara kwamara ila nikaona nivema niingie rasmi....
0 Reactions
7 Replies
902 Views
Nasema helooooooooooooo kwa wanajamiiforum wote.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
hello members am new here! katika jamii forums kabla sijajiunga nimeweza kuangalia sehem nne, nazo ni jamii intellgnce,jukwaa la siasa,MMU na matangazo na hoja mchanganziko. ila katika sehem zote...
0 Reactions
4 Replies
772 Views
hodi humu jamani...
0 Reactions
6 Replies
861 Views
Bwana Yesu Asifiwe!
0 Reactions
5 Replies
771 Views
mgeni kabisa hapa ila nimevutiwa sana nanyi,nawahitaji katika maisha yangu yote yaliyobaki.support me pleaaase!
0 Reactions
9 Replies
727 Views
Heshima yenu wakuu...ni matumaini yangu tunaendelea kujenga taifa letu kwa pamoja huku kwa kiasi kikubwa tukisaidiana maumivu haya ya makali ya maisha yanayosababishwa na wachache waliovimbiwa...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Back
Top Bottom