Natumai mpo poa Wanajamii.Mi kama mgeni sina budi kuwasalimu ivyo mpate kujua namba ya Member inaongezeka.Nataraji Support kubwa toka kwenu na kwangu.ASANTEN
Kwa heshima kubwa kabisa amani iwe nanyi wote.
Nimekuwa mwanafunzi wa jf kwa muda mrefu sasa. Nimejifunza mengi hapa jamvini nikaona mmenikomaza vya kutosha, mmeongeza uelewa wangu kwa kiasi...
samahani wenyeji nimekuja alfajir amjaamka!ila najitambulisha jina langu ni Adharusi=maana ya jina langu ni Mapambano au Vita(kamusi ya kiswahili ya Tuki)Naomba umnipokee.5
Nimekuwa nikifuatilia maada za jamii forum kwa muda sasa nimeona na mie nijiunge na magreat thinkers. Ntajitaidi nami kutoa mchango wangu kwa ajili ya jamii yetu. I am happy now to be a part of...
jaman....kweli nimevutiwa na jukwaa hili...kiukweli nataka kua mmoja wa wa family hii ili tuweze kubadirisha mawazo na kujengeana hojaaa mbalimbali za maisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.