Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Nawasalimia members wote na nitaheshimu mawazo ya wengine.Ahsanteni kwa kunikaribisha.
0 Reactions
4 Replies
778 Views
Habari zenu wanaJF? Ninapenda kujumuika nanyi kuwa natoa mchango wangu pale itakapobidi.
0 Reactions
6 Replies
894 Views
Naomba mnipokee wadau,I'm new to the forum!
0 Reactions
7 Replies
789 Views
Naomba 2shirikiane kuhakikisha tunapata ajira la sivyo tujumuike kwa pa1 tufungue kampun den tusaidie wadogo zetu ili wasije kupata tabu kama 2nazozipata ss. Kwa pa1 2naweza, m well knwn s '' da...
0 Reactions
5 Replies
756 Views
Hello niaj wakuuuu,mko pouwa?am back wazee watakua wamenisoma!ha ha ha ha
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Naitwa meeku, naombeni kichngia kidogo yesu na maria.
0 Reactions
12 Replies
1K Views
nimefurahi kujiunga jf natumaima nitajifunza mengi nakutoa elimu sahihi katika mambo ninayo yafahamu asante jf kwa kunipa nafasi hii
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kuingia moja kwa moja bila ruhusa ni utovu wa nidhamu hivyo nawaheshimu sn naombeni mnikaribishe jamvini.
0 Reactions
15 Replies
1K Views
hey
Nafurahi kujiunga nanyi humu nategemea ushirikiano mkubwa thanx, Hivi kitendo cha serikali kutosikiliza madaktari na madai yao ni kuwatendea haki wattanzania na wapiga kura wao?
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Hii
Wapendwa watanzania,hoja niliyo nayo inaniumiza kichwa hiivi kwanini kijana anatumia nguvu ya ziada kumpata binti wakati anafahamu anataka apite tu
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hodi wanajamii na wadau. Naomba ushirikiano wenu
0 Reactions
12 Replies
941 Views
Wapenzi, Ninawaslimu wote wenye mapenzi mema. Aksanteni Richardbr
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wana JF, Aslaam aleikum/Tumsifu Yesu kristu!! Kwa mara ya kwanza naingia humu mjengoni kwa Great Thinkers, Naombeni mnipokee tushirikiane kwa pamoja, tuelimishana, kutofautiana na kupingana bila...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Amani na upendo wana jf wote, ni mgeni wenu ktk ulimwengu wa jf. Naombeni mnipokee
0 Reactions
12 Replies
962 Views
wanajf hamjambo? Leo nimezaliwa ndani ya familia yenu
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Hellow jf members,nilikuwa nasimuliwa muda mrefu khs jf na umuhimu wake nikaanza kupitia threads mbalimbali kwa kutumia login za my friend kwa kweli hakunaga naamini tutashare mengi zaid na pia...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Hodiiiii nini mimi mgeni wenu Gwakilingo naomba mnipokee
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hellow!!
0 Reactions
8 Replies
778 Views
i don't hv words to add, at first,Let me first get a tour!
0 Reactions
6 Replies
904 Views
Mambo?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom