Jamani nimechoka kupiga chabo na nimeamua kujiunga humu ndani
Nimesoma sana humu mnazungumzia magamba na magandwa. Kama magreat thinker wenye hoja zilizonona naombeni mwongozo wenu, niwe gamba au...
Hey members, surely hii JF inatisha, nimejifunza mengi within a week ambayo nimejiunga hapa...tuendeleze gurudumu hili kwa kubishana kihoja na kuelimishana.
NB:
Msamiati _ "Kameruni" umetawala...
Haki ya Mungu napiga hodi tena kwa nguvu...ba mods,ba nkima,ba ngosha,ba miyala,mwapanga?molemola?monile?subay?amang'ana yawe?mulimu?
Ukivukwa na nguo sharti uchutame ....Hodiiiiii wanajamvi.
Nawasalim wote JF members,
Mwali hapa, na mimi nimeona nijiunge nianze kuchangia sasa...
Naomba mnikaribishe sababu nina uoga kidogo kuongea kama sisaidiwi...
Hodi hodi jamani, baada ya kuamua kuacha rasmi kuwa mtazamaji au guest jamani naomba mnipokee kwa mikono yote miwili ili nami nijisikie nipo nyumbani!
Kabla ya kujiunga itifaki imezingatiwa kwa...
Naitwa 'Bustani', ninayo furaha kujiunga rasmi jukwaani baada ya miaka mitano ya kuangalia yanayojiri kutokea mbali kidogo. Tuko pamoja katika ujenzi wa Tanzania mpya!
Kusema kweli jamiiforums iko juu kimtandao. Najilauimu kuchelewa ku-be-adapted nao. Lakini waswahili husema, 'Heri nusu ya shari kuliko shari kamili.' Tuko pamoja waungwani, kwa kasi mpya, na...
Wanabodi.
Najuta sikupita huku wakati najiunga JF...
Naombeni mnipokee bandugu nawapenda wote wana JF..
Nifundisheni nikikosea mnielekeza na mimi niwe Great Thinkers kama nyie..
hello JF members, mi mwenyeji wa forum lakini ni mgeni kutokana na kutokuwa hewani kwa miaka hivi, so now nakua member kamili
naombani mnikaribishe tena
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.