Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Wana jamii wanasalimuni in the name of The Creator of Heaven and Earth. Pamoja sana wakubwa!
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Nakupongezeni nyote mlonitangulia humu ndani kwa mada na habari motomoto za kuelimisha. Mimi mwanachama mgeni wenu naomba mnipokee, bila shaka mtanikaribisha nami ninaahidi tutakuwa sote pamoja...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nafurah kuwa pa1 nanyi wana JF na bila shaka nimekaribishwa.
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Nawasalimu wakuu! nimerudi na ID mpya baada ya kupigwa ban ya wiki moja! naomba mnijulishe jinsi ya kuomba msamaha kwa mederators ili wanisamehe na kuniondelea ban! ni kosa la kwanza halitatokea...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Ckujua kama kuna mitandao ya maana kiac hichi hapa TZ, nailaumu nafc yangu kwa kukosa ufuatiliaji wa mambo yenye maana na manufaa ktk kukuza upeo wa kufikiri na kuchanganua mambo, all in all...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
hi
Its my fst tym kulogin kwenye hii kitu hop mko pouwa n ntafaidika via this..
0 Reactions
9 Replies
1K Views
hi! Jf mimi ni mmber mpya humu na nimefurahi kuweza kujiunga na ma great thinker though ni juniour katika hili jukwaa nategemea support kubwa kutoka kwenu wakuu. Siku njema.
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Just saying hellow to you all,you all be good
0 Reactions
10 Replies
822 Views
Nimefurahi kujiunga nanyi kwenye jumba hili zuri na matata kwa hoja!
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Hi!
Habari zenu wanaJf
0 Reactions
16 Replies
1K Views
I mite be a cat/machine/human or any asset but as long as I live in TANZANIA I bliv I nid a change in my country,and it shud start within us..I bliv am in the right place...I av been reading this...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Hodi barazani wajumbe, poleni na majukumu ya kila siku, naomba mnipokeee
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Hi JF members. I have just joined this forum of great thinkers after being a guest for quiet sometime. I admire the way you use facts & logical arguments to agree or disagree. Well, Happy New Year...
0 Reactions
5 Replies
736 Views
Hi, ni member mpya tupeane ushirikianao!
0 Reactions
7 Replies
922 Views
Habarini wana JF! Ndio kwanza nimeingia kwa janvi!, msemaji mpyaaaah,. Msaada wa kurukaruka humu janvini kwa raha, heshima na taadhima! Ndicho nnacho kiomba! With due respect!
0 Reactions
10 Replies
931 Views
Habari zenu wana jamii forum i am a new member hope tutaenda sawa
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Hi am new I hope am welcomed
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Nimetua jamvini leo jamani, wadau nipeni kigoda.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
HOODY waungwana!
0 Reactions
7 Replies
805 Views
Nawasalimia waungwana!
0 Reactions
9 Replies
989 Views
Back
Top Bottom