Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Wenyeji hodiiii...nimekuja nami nifuraiye forums hii adhimu hapa tz........pia nanyi nawakaribisha Google+ msikae tu huko facebook! Regards; Google+
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wana JF hongereni kwa busara zenu
0 Reactions
5 Replies
735 Views
Habarini wana jamvi...nawapenda sana ndo mana nimeamua kuwajoin... Please naomba mnipokeee!!
0 Reactions
8 Replies
991 Views
loooooohhh semeni basi karibu
0 Reactions
6 Replies
884 Views
Hi all, Am new here, naombeni mnipokee. Asanteni sana.
0 Reactions
8 Replies
823 Views
Kwa wale waliosoma Jitegemee Sec School (chini ya uongozi wa Massawe) enzi hizo za kutokea kuanzishwa kwake mpaka sasa watakuwa na mengi ya kuzungumza. Kwa kuanzia kuna walimu Walikuwa wanasifa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nilikuwa nawasikia mashoga zangu wakisimulia habari za humu jf, na mie nimejikuta tu nikitamani kujiunga hasa baada ya kusoma hoja mbalimbali ambazo kwa kweli zimenielimisha kukua...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu! Mimi ndugu yenu kutoka Zanzibar University..... Naomba mnipokee ktk jukwaa, kwa muda sasa nimekuwa msomaji mzuri wa posts zenu na nimekuwa najifunza mengi, and still I'm to learm more...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Salama wakubwa ebwana mimi mgeni cjui chochote kuhusu Jf kwa hiyo naomba 2we pa1 thanx
0 Reactions
10 Replies
1K Views
jamani mi ni msafiri natoka mbali sasa nimefika hapa kwa jf naomba mnifungulie ka mlango bajameni na mi niingie
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Hi wanaJF! mie ni new member........................hope 2takuwa pa1
0 Reactions
15 Replies
956 Views
Sanaaaaa! Itabaki kuwa sana Daima ila katika Issue za msingi tuwekeni Usanii pembeni
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Hi all, Salaam wanajamiiforums Naomba kujitambulisha kwenu mimi ni member mupyaaaa hapa foramuni. hope mtanikaribisha, nitakapokosea mtanielekeza!!!!!!!!! Wakatabahu Mr. Alex
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Ninafuraha kuwa moja kati ya jamii ya watu wenye nia ya kujua,kujifunza na kuelimishana kwa lengo la kujenga jamii iliyo bora. Pamoja wana jamii..!
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Jaman tunaingia na viatu humu??
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Hii nchi usanii umzidi sana kwa Viongozi wetu wa nchi yaaani toka hili neno 'CHANGAMOTO' Litambuliwe vinywani mwa wakuu wetu basi matatizo yote na kero zote ni 'cHANGAMOTO
0 Reactions
8 Replies
1K Views
yani sisi kikwetu ukikuta jamvini watu wanakamua bhana, we unazama zako kimyakimya tu na kuendeleza makamuzi, habari za huko ulikotokea ni mpaka wao wenyeji ndo waanze kwanza kukuuliza...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Ni mwanachama mpya, nipokeeni ktk uwanja wa hoja na mawazo madhubuti!
0 Reactions
15 Replies
2K Views
glad to b in the family
0 Reactions
8 Replies
1K Views
naomba kujitambulisha leo rasmi baada ya kukaa mwaka mmoja JF bila ya kujitambulisha ..
0 Reactions
12 Replies
885 Views
Back
Top Bottom