Hellow wana jf, nmefurahi sana kuwa mmoja wa wana jamii, bila shaka kina faiz foxy, bujibuji na wengine kibao mliopo humu ndani mtanipokea vizuri.. Asanteni sana!
Habari wapendwa, nafurahi kuungana na ma great thinkers, bila shaka mtanipokea kwa mikono miwili. Ntahitaji sana msaada wenu jinsi ya kutumia jf vizuri pale ntakapokwama. Nawasilisha!
Dear members this is just to inform you that am new in JF but familier with JF this is because i was not yet registered with JF but am a good reader of JF please keep on posting the strong and...
Shikamooni wadau
Napenda kujitambulisha kuwa mimi ndo memba mdogo kuliko wote wa Jamii forums lakini nabamba kwenye chati za siasa,teknolojia na jukwaa la lugha.Na juzi tu nimepata promotion kuwa...
nasikitika kuona kiongozi anaumwa maralia anapelekwa india kufanyiwa matibabu hivi wanapelekwaga kweli huko india au wanatuzuga halafu huu mchezo wa kuwaandama viongozi wanaopigania haki ya raia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.