naitwa reuben makene najitamulisha kwenu wana jamii forum kuwa nami ni miongoni mwa wanachama wapya wa jamii forum. naomba ushirikiano wenu asanteni sana
Jamani nisaidieni nipate sehemu ya kufanyia field mwezi wa 7 mwaka huu.field yangu ni wiki sita,kwan sehemu niliyopata ni mbali sana,huko halmashaur ya serengeti. Niko udom nasoma project...
Jamani nisaidieni nipate sehemu ya kufanyia field mwezi wa 7 mwaka huu.field yangu ni wiki sita,kwan sehemu niliyopata ni mbali sana,huko halmashaur ya serengeti. Niko udom nasoma project...
Wapendwa wana jf awali ya yote nawashukuru sana kwa michango na mawazo yenu bora yaliyonivuta kujiunga nanyi. Naomba mnipokee ili nami niweze kushiriki nanyi ktk ujenzi wa taifa letu. Wenu kautipe
Hello JF members, salaam alaykum,BWANA Yesu asifiwe, finally I'm happy baada ya Kustruggle for a long time nimejoin leo hapa Jamvini. Nikiwa Outsider nimekuwa nikiwapata vizuri. I love U all...
Najiunga hapa kwa kwa ajili ya kupata mambo mbalimbali na kujifunza pia pamoja na kubadilishana mawazo kuhusu ujenzi wa Taifa nimekuwa natembelea sana humu ndani na kusoma michango ya watu hivyo...
Baada ya kuchukua muda kuifahamu jf na kuvutiwa na yale yanayojiri katika jamvi hili naomba mnikaribishe rasmi,,, naahidi kuwa mchangiaji na mtoa mada mzuri sana katika forum hii,,,,,, Na Mungu...
Mimi naitwa mkulimamwema nimewaleteeni magimbi,matango na mihogo maana mna kasumba ya kutokuja kutusalimia kijijini na nimekuja mnipe hela nikanunue dawa ya wadudu wanaoharibu mazao maana mwaka...
Habari zenu wana jamvi?
naomba kukaribia nipate pumziko la kifikra maaana huko nilipo toka ni majungu, fitna, unafki, uzandiki...... du na kila kitu!
Naamini hapa nitabwaga moyo, au nimekosea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.