Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Napenda kujitambulisha kwenu wana jf leo hii, mimi ni mtanzania mwenzenu na nimevutiwa sana na michango mbalimbali ya kimtazamo inayopatikana ktk blogu hii. Nami nimejiunga. Na...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Hodi jaman wana JF!Siamin kama na mimi nipo JF KABISAAA!Naahid kuwa mwungwana!Natumaini mtaniunga mkono!JF OYEEEE!
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Hey nimejiunga leo nimependa nijitambulisha na humu kwani huwa napenda sana kuja jukwaa hili kama guest nikaona isiwe tabu ngoja tu nijiunge ili niweze kucomment kwenye hoja itakayonivutia.Yaani...
1 Reactions
98 Replies
7K Views
NIMEFANIKIWA KUSAJIRI NGO YA KIJAMII,ITAKAYOJIHUSISHA NA UTETEZI WA HAKI ZA BINADAMU KWA MASUALA YA AFYA. INAITWA NYUMBA YA UTU (HOME OF DIGINITY (HODi)). pamoja na kutetea haki za kiafya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mimi mgeni humu jf sijatumwa na mtu yeyote humu nimekuja kwa nia yangu mwenyewe
0 Reactions
6 Replies
1K Views
heloo member jf:israel:
0 Reactions
2 Replies
1K Views
heshima kwa ma great thinkers wote,na ninashukuru kwa kunipokea.asanteni.
0 Reactions
3 Replies
841 Views
Awije!!; Gwakashina., ausindile, Kamwene, Mgonile,Masibota, Shimbonyi shafoo.Namnaani,Tuwawone,Mwangaluka, Mang´ana, Kuchidachi........,Asalaam Alleikhum, Amani iwe kwetu nyote.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Heshima mbele,naomba mnipokee
0 Reactions
11 Replies
1K Views
jamani msomi wa chuo kikuu nami najiunga na mtandao makini wa wasema u-kweli daima. Nipokeeni basi!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
hi wana JF, kwa mara ya kwanza najitokeza, nipo hai, km huamini onyesha mwili wangu nikwa nimeuawa.
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Waheshimiwa wana JF,SALAAM kwa wote. I'm stany! ITS ALL ABOUT SAYING HELLO TO ALL GREAT THINKERS!! I'm very happy been a Jf member. I promise to collaborate with you in giving my views concerning...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
hodi hodi naingia, uwanjani najimwaga, mimi mgeni ila cna kamba mkononi, naomba mnipokee. athanteni thana.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Jamani wana jf miye mgeni mitaa hii! Amani kwenu! :smile-big:
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Mambo niaje wana-JF? nakuja kama Bebeto.
0 Reactions
7 Replies
821 Views
Nia yangu ni kuwasilimia tu kwani bado mim ni mgeni katika jamvi hili na kwa utamaduni wetu sis wa tanzania salamu muhimu...wazima wote?
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Please welcome me brothers and my fellows tulisongeshe taifa letu
0 Reactions
10 Replies
1K Views
natafuta wa kunivika hio kitu,na ile ya pili yake....natafuta mume wangu jamani ndio maana nimekuja humu,i believe yupo humu humu!...mambo JF?
0 Reactions
71 Replies
5K Views
Nia yangu ni kuwasilimia tu kwani bado mim ni mgeni katika jamvi hili na kwa utamaduni wetu sis wa tanzania salamu muhimu...wazima wote?
0 Reactions
4 Replies
976 Views
Can I join u?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom