Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Hodi kwenu uwanjani je, mmenipokea? Mc!
0 Reactions
10 Replies
2K Views
nakuja wenyeji mnipokee kwenye jamvi letu la kijamii
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Jamani naomba kuingia
0 Reactions
5 Replies
885 Views
nafikiri ni wakati muafaka wa kuungana na wanajamii baada ya safari ndefu na ngumu ya uchhaguzi ulopita. nasisitiza ccm ni mshindi hata kama tulichakachua hao waliochakachuliwa walikuwa wapi?
0 Reactions
4 Replies
915 Views
Nimekua msomaji wa jamiiforums kwa muda mrefu,hasa kwenye jukwaa la siasa na mengineyo pia .Nimejifunza vitu vingi kupitia humu hasa namna ya kuzivumilia hoja zinazo kera na namna ya kuzijibu...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
jamani mimi ni mgeni natumaini mtanipokea vizuri kwa ajili ya kushirikiana
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mimi ni mwanachama mpya wa Jamii Forum naomba mahusiano na wengine katika kuwasiliana kwa mambo mbalimbali
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habarini wana jamvi, nimejiunga leo nawaomba mnipokee kundini.
0 Reactions
4 Replies
948 Views
hodi wanajamii mie ni mgeni humu jukwaani tafadhali mnipokee__________________________ mother of the bride dresses discount wedding dresses Custom wedding gown
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nafurahi kujumuika nanyi hapa jamii forums
0 Reactions
6 Replies
715 Views
kiluwiluwi naingia bwawani.naombeni ridhaa yenu wenyeji
0 Reactions
14 Replies
1K Views
wadau wa JF napiga hodi naomba nifunguliwe mlango
0 Reactions
9 Replies
929 Views
Nategemea ushirikiano wenu chonde chonde
0 Reactions
5 Replies
969 Views
Napenda kujitambulisha rasmi na nategemea tutakuwa na mijadala ya maana zaidi ambayo italenga kujenga na sio kubomoa na wala haitokuwa na kudhihakiana wala kutukakana wala personal attacks...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
wakubwa napiga hodi nyuma hii.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
nategemea ushirikiano wenu
0 Reactions
3 Replies
1K Views
hi
friends,im new here.please welcome me in.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Mimi nami nimo humo!
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habarini jamani! Mimi mwenzenu ni mpya naomba kuingia humu ndani niungane na kushirikiana na ninyi katika kuijenga na kuitetea nchi na taifa letu kwa ujumla. please msinitenge ndugu zangu.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wenyeji habari zenu. Naombeni kujiunga nanyi ili nami nipate kujuzwa mambo mengi ya faida yanayopatikana humu jamvini. Asanteni kwa ukarimu wenu.
0 Reactions
6 Replies
938 Views
Back
Top Bottom