Helo nguys&ngirls!2po pamoja sana katika kuitetea our lovely Tanzania!2po pamoja sana katika kumake sure miili yetu inaish as long years as possible!meeeeeeen ULEVI NOMA,UNALOSTISHA!!!GO ASK MY...
Nimekuwa nikisoma mara kwa mara posts mbalimbali zinazoletwa humu na nimeshawishika kujiunga kuwa 'member' ili nami niweze kushiriki kwa michango yangu.
Naomba mnipokee
Nimekuja kufundisha zaidi,nimefuatilia thread nyingi hapa JF hususani Jukwaa la siasa hazina mashiko,watu wanakuwa wanajadili watu zaidi kuliko hoja huu ni umbeya.Zaidi tukane kwenye Forum ya...
hodi hodi wanaJF..naomba niingie ndani ya nyumba yenu ingawa niliingia kabla
mkinikaribisha kwa furaha ndiyo furaha yangu na mie
nawapenda wote..mwaaaaa
Habari zenu vijana na wazee(wakubwa) shikamooni.
Nimevutiwa na mijadala ya humu jukwaani hivyo nimejiunga na hii forums rasmi.
Ntafurahi kupata ushirikiano kutoka kwenu Great thinkers...
Habari waungwana
Naitwa wazo langu
Nimeipenda sana jamii yenu nami nikatamani kuishi miongoni mwenu
Nimesoma ya wengi nami sasa ni wakati wangu nipate nafasi kutoa wazo langu.
Nawapenda kwa sababu...
wanajukwaa hali zenu?
naimani mko poa.. mimi kama Gogreous naomba ukaribisho wenu katika hili jukwaa mashuhuri kuwa mmojawenu mana nimeona napitwa na mengi mazuri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.