Hivi aina hii ya music maDJ nani kawadanganya kila mtu anaipenda? Mnadhan kila mtu anavutiwa na ujinga wa hizo viral za tiktok?
Nipo sehemu moja hapa naandika kwa uchungu sana sababu DJ toka saa...
RIWAYA: UFUKWE WA MADAGASCAR
Mtunzi: Kelvin Mponda
SEHEMU: 2
Begi langu dogo la mgongoni lenye mifuko mingi yenye vipenyo tofauti ambapo mle ndani pia niliweka nguo
zangu chache muhimu za...
Naona alosto zimezidi. Nimeona nirushe adithi ambayo bado mtunzi anaishusha taratibu. Mara moja kwa wiki. Kumbukeni huyu ni mwandishi mahili wa vitabu kama;Tai kwenye mzoga,Mifupa 206 na Ufukwe wa...
Nimawasalimia wana JF wote.
Leo nimeona niweze kuelezea mambo muhimu sana ya nchi niliyoweza kuyapata miaka ya 90s.
Miaka hiyo nilitokea kumpenda mtoto mmoja wa kike jina lake akiitwa Misoji...
Wiki hii kule Twitter kumekuwa na mjadala mkubwa sana, Moja ya Page ya Twitter ya Kinaijeria imemshutumu Msanii Mkubwa kuwa Nigeria ndio imempa umaarufu kupitia namna anavyokopi Sound ya Miziki...
1. Liberation
2. Serge Palmi
Kama Wewe ni Mpenzi wa Miziki ya Congo DR hasa Bendi yangu pendwa na tukuka ya Wenge Musica BCBG yake JB Mpiana na hujazisikiliza hizi Nyimbo Mbili Tamu katika Album...
Jamii forums ina watunzi wengi wa visa vya kubuni na vingine vya kiuhalisia katika maisha yao, Ila huyu mwamba UMUGHAKA ametia fora, sidhan kama kuna member anamzidi Kwa simulizi zake zenye...
Hapa kuna orodha ya njia tano za burudani nchini Tanzania.
1. Kusafiri: Tembelea maeneo ya kuvutia kama vile Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, Mlima Kilimanjaro, Visiwa vya Zanzibar, na Mbuga ya...
Huu wimbo mzuri sana kusikiliza. Tatizo ukija kwenye ujumbe ndio tatizo. Unapinga mahusiano. Tujiunge na Jux na Diamond kwenye upweke na ukapela tukanywe na tucheze juu ya meza.
Nawashauri...
Enzi hizo ilikuwa ukienda Kinondoni kuanzia ijumaa hadi jumapili maeneo mengi yalikuwa yakitawaliwa na ngoma ya sindimba, ambayo inasemekana asili yake ni huko mkoani Mtwara na wenyeji wa ngoma...
Unaweza kusema aliyewakutanisha AYGUL na JAKUTAY ndani ya Tamthilia ya Ottoman alipata maono ya kweli. Huwezi amini mara baada ya kuoana kitamthilia kule Ottoman hatimaye wapenzi hawa waamua...
Rais wa milele wa Kigambonino huyu na vocal na style yake ya pekee anaisakafia kauli yangu kuwa game bado inamhitaji maana hana mbadala.
Ni ngoma chache sana utamsikiliza na kukosa kucheka...
Habari zenu wakubwa!
Samahanini, mwenye uelewa kuhusu YouTube channels anipe ufahamu kidogo kuhusu:
1. Namna ya kufungua channel
2. Utaratibu wa kisheria
3. Namna faida inavyopatikana
4. Na...
Ni muda mwingine tena salaam,
Kwa kweli sina hamu ya kuangalia local channels maana hawana mpangilio wa vipindi ili kumvutia mtazamaji zaidi huwa naangalia taarifa ya habari saa mbili, bbc...
Wakuu naombeni nyimbo za kuabudu za live ziwe za Tanzania, south africa, nigeria na congo kwa mbaali mfano hawa Neema gospel choir na wimbo wao wa wema umenivutia kidgo kutazama.
SUPA 5 FROM PAPA LOVE
MAWINGU RECORDS ni nyumba ya heshima ambayo ilisanifiwa vyema na Boniphace Kilosa, mchonga njia wa muziki huu.
Kagusa mikono mingi sana lakini kwa upande wangu, hii mikono...
Yeap,
Umesoma sahihi, Ni buree!
Ndio najua unajiuliza, “hii inawezekanaje?“
Ngoja nkwambie sasa, of course kuna a catch,
Inabidi ujiunge na Publication inaitwa “Cinemalitics” Link hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.