Hello,
Hapa patakua nyumbani kwa wale wote wenye hisia na wanaovutiwa na kazi nzuri za sanaa (aesthete) kuanzia kwenye picha za asili zenye mvuto (nature) hadi kwenye maandishi yaliyopangwa...
GAME INAMDAI
INNOCENT SAHANI "Dirty Knob" "Bad Man" "MFALME wa MITAANI" "D Knob"
Mwamba kutoka Kiwalani alifanya kazi nyingi sana na Mika Mwamba, akapita kwa Majani, kwa D Money, kwa Villy Nice...
Muziki si kitu cha kawaida kama wengi tunavyodhani,Muziki ni nguvu katika ulimwengu wa Roho,inaweza vuta nguvu ningine za kiroho kuja eneo la tukio
Muziki ni dawa ya nafsi inaweza kutibu na...
Filamu ya Titanic iliyotoka mwaka 1997, ni filamu ambayo ilivunja tekodi ya mauzo kwa kipindi hichi ikiwa imeingiza pesa kiasi cha dola za Kimarekani bilion 1.8 huku ikiwa imetumia budget ya...
Idadi ya wanaugua Magonjwa hatari yasiyoambukiza ikiwemo Kiharusi, Shinikizo la Juu la Damu, Maradhi ya Moyo imetajwa kuongezeka kwa kasi nchini ambapo wengi wao ni wenye miaka kati ya 20 hadi...
Nilijua ni Biashara tu...kila mtu anapost...zimebaki sijuwi siku...Leo nimebahatika kuskiza nyimbo yake mpya... ni tamu sanaaa....
Leo Lady Jaydee ameachia wimbo wake mpya baada ya kimya cha muda...
Bado sijapata Title maalum ya hii Simulizi twende nayo hivyo hivyo.
UTANGULIZI
Kuna jamii ya watu iliyozuka na kuleta sintofahamu miongoni mwa jamii nyinginezo, watu wanaozisaka pesa kwa namna...
Hi my name is Tony Stark
Mimi ni mpenzi sana wa movie ila ninazo pendelea zaidi ni sci-fi japo wengine husema hazina mbele Wala nyuma wengine usema za kitoto ila Zina mafundisho makubwa...
Nyota huyo kutoka Nigeria ameibuka mshindi na kuwabwaga mastaa wengine ambao Aya Nakamura, Ayra Starr, Central Cee, Ella Mai, K.O, L7nnon, Stormzy, Tiakola na DJ Uncle Waffles.
Beyonce ameshinda...
Habari wana jamvi,
Mie bongo fleva nimeanza kuifuatilia kitambo sana enzi za bdp na sosy b na mpaka sasa bado naisikiliza nimebahatika kuviona vipaji vingi kwenye hii tasnia waimbaji kwa maraper...
Hii nchi enda wapi aise?
Hatuna wasomi? hatuna wasanii wanaoweza kuimba nyimbo kulingana na matukio yanayoendelea?
Msaniii mzuri ni yule anaeweza kubadilika Kwa tunzi zinazoweza badilika...
Ishi ukiamini ipo siku hautapata nafasi hiii unayo sasa, leo wewe mdada unaweza kukaa na na nguo yoyote beach ukiogelea ipo siku utazeeka hautaweza.
Leo unavaa nguo yoyote vimini nk kuna siku...
Amani iwe juu yenu wana wa Mungu.
Nina miezi kama mitatu sasa, nyimbo za wahusika zimekuwa zikijirudia katika orodha ya nyimbo ninazosikiliza mara nyingi.
Papi Clever na Dorcas ni wanandoa...
Kumekuwa na tabia ya wasanii wa singeli kuimba kauli tata na watu kuchukulia poa.
Mfano unakuta mwanaume anaimba “mume wa mtu sumu ila kwangu mtamu” hivi hii iko sawa kweli?
Kwanini mamlaka...
Serikali inaendelea kushirikiana na wadau wa sekta ya filamu nchini kupitia Mfuko wa Utamaduni na Sanaa Tanzania ambao miongoni mwa wanufaika wa mfuko huo ni wasanii wa filamu ili kuboresha kazi...
Kwa wale wazee wenzangu, vijana wa miaka ile, naomba mniwekee track izi kama mtakua Nazi
1.GADO ...ZAY B FT INSPECTOR HARUN
2.MTULIZE...MABAGA FRESH FT NATURE
3. KOSA LA MAREHEMU....ORIGINAL...
Mimi ni muumini wa hip hop haswa zinazoelezea ukweli mchungu katika maisha haya. Moja ya ngoma zinazoelezea maisha kwa uhalisia ni Hii hapa ya Jay z na mr hudson.
Moja ya ukweli mchungu ni kwamba...
hizi ndizo nyimbo bora 20 za mapenzi zaa majuu ....kama umekubali gonga like kama unapinga hebu sema ipi itolewe na ipi iwekwe
20. Soledad by Westlife
19. My heart will go on by Celine dion...
Juzi hapa Netflix waliachia Trailer la series inayohusu maisha ya Malkia Cleopatra wa Misri. Baada ya trailer hiyo watu(ambao sio Negro/Weusi) wameponda sana kumuweka/kumuonyesha Cleopatra alikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.