Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
SIMULIZI: PENZI LANGU SEHEMU YA 01 ANZA ...Mkoani Tabora walionekana watu wawili ambapo Kwa kuwatazama tu ni kama vile walikua wapenzi ambao wamuda mrefu sana wakati huo mwanamke alikua...
2 Reactions
32 Replies
10K Views
Mimi AWE katisha.
0 Reactions
1 Replies
183 Views
Nakumbuka mwaka 2015 nimemaliza form six yangu baada ya matokeo kutoka nilifaulu vizuri nikafanya application za mikopo na vyuo. Mungu mwema mkopo nilipata japo asilimia chache sana kama 3% hivi...
5 Reactions
12 Replies
698 Views
Huyu atakuwa kabila gani?
3 Reactions
72 Replies
3K Views
Baraza la sanaa Tanzania sijaona kazi yenu kama madudu ndo haya mnamefeli. Jaribu kujipanga upya. Diamondplatnumz ,alikataa kushiriki tuzo zenu afu mkampa tuzo ya heshima😁 mko sawa na utendaji...
1 Reactions
4 Replies
427 Views
Mambo vipi wakuu. Ebwana kuna movie moja niliwahi kuiangalia miaka mingi sana iliyopita,yani kitambo sana sikumbuki hata ilikuwa stesheni gani ya TV. Bahati mbaya umeme ukakatika hivyo sikupata...
8 Reactions
50 Replies
2K Views
Baada ya kuona kitabu cha pili na cha nne, sasa tuone cha kwanza. hadithi hizi zote unaweza kuzisoma bure ndani ya maktaba app, ipo playstore.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Yaaa Ilahi Mola wangu nibariki Niongezee ridhiki Unitoe kwenye dhiki Si wa moja wala mbili Kama vile pilipili Naomba nipe kibali Siitafuti huruma Hata nikiwa kiguma Ningali najisukuma Na wala...
1 Reactions
8 Replies
341 Views
Wakuu Umofia kwenu, Karibuni katika Special Thread ya Tamaduni Music Hapa tutakua tunatupia Line Kali tulizowahi kuziskia kupitia tracks za members wa Tamaduni Tamaduni Music members Nikki...
6 Reactions
85 Replies
9K Views
Hii video inaonyesha jinsi nilivyocheza mission za kwanza ambazo ni Prologue, Franklin and Lamar, Repossession Complicatio, Stolen Boat and Father Son ila mission ya stolen boat ndo ambayo...
0 Reactions
4 Replies
462 Views
Gangs Of Lagos - Full Trailer Best friends Obalola, Ify and Gift were born and raised in Isale Eko, where politically affiliated gangs rule the streets. When rival gangs paint the streets red...
3 Reactions
0 Replies
355 Views
Kama kuna kundi lilikuwa linafanya Hip Hop mpaka unatikisa kichwa wakati wa kusikiliza basi ilikuwa Nako2Nako Soldiers na ukisikia jinsi mtu kama Lord Eyes anavyo flow yaani unahisi uko dunia...
6 Reactions
30 Replies
7K Views
Chombezo : Beki Tatu Mcharuko Sehemu Ya : Kwanza (1) “Shogaa yule mfanyakazi nimeshampata ni wewe tu uje kumchukua maana kadada kenyewe kamekaa kazungukazungu kasije kuniibia mume haka.” “Mhhh...
5 Reactions
23 Replies
20K Views
Habari zenu. Natumai mpo salama kabisa, nimeona nominees wa Tuzo za Muziki Tanzania kiukweli watu wengi wametilia mashaka jinsi walivyopatikana hao washindani. Hili jambo natumai kwa asilimia...
0 Reactions
3 Replies
546 Views
Nimeambiwa na watu kadhaa pamoja na watunzi suala hili wakipendekeza kuwa inafaa nipewe cheti maana nmekuwa nikiwapigania hasa. Na waandishi kadhaa wameonekana kunishukuru kwa jinsi ambavyo...
1 Reactions
2 Replies
511 Views
Meneja wa muda mrefu wa kundi la muziki wa kizazi kipya la Tiptop Connection,Abdul Taletale aka Abdul Bonge ameaga dunia. Abdul Taletale ambaye ni kaka wa Babu Tale atazikwa mkoani Morogoro...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Wakuu heshima kwenu. Natumai mpo salama kabisa, kama mada inavyojieleza hapo juu naomba msaada niweze ku-download hiyo movie ya kibongo inaitwa TAG OF WAR mwenye direct link naomba anisaidie...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu hongereni kwa majukumu. Tafadhali naomba mwenye movie tajwa juu atume hapa ile yenye landrover ikimkimbia mzungu kwenye geti. Thanx in advance
1 Reactions
3 Replies
336 Views
17 years ago today, Rihanna released her sophomore album ‘A Girl Like Me.’ The singer’s second album spawned the chart-topping ‘SOS,’ which became her first of 14 #1 hits, along with...
2 Reactions
3 Replies
531 Views
Back
Top Bottom