Mh Rais najua Kuna baadhi ya watanzania hawakutakii mema na upo nao HAPO Serikalini Mama Dr. Rais Samia
Hizi ndo nyimbo ZINAZO pigwa mtaani kwetu huku Mae.
Kula ngomaaaaa Mh Rais
Pasaka njema...
Habari,
Kwa wale wenzetu waliowenyeji na South Africa naomba mnisaidie hili. Nimekutana na Makaburu wawili nyakati tofauti na wote niliwauliza kuhusu huu mziki, wote hakuonyesha kuujali kabisa...
Salamu,
Hiki kipaji inaonekana Mungu hajawapa hawa akina Hawa, naona labda kwa wenzetu wazungu. Hata kwa wazungu sijaona, hapa bongo nawaona tu kina joti na wenzake kina mpoki na Masanja.
Hebu...
Kutoka Kwenye Ukurasa wa Instagram Wa Msanii @rayvanny Kuhusu Tuzo Za "TMA" Baada Ya kutangaza Vipengele
"TMA Tunajivunia Kwamba Mna-Support Muziki Ila Hiki Sio Nilichokitegemea. Nimesikitishwa...
Wakuu hii ndo list ya movie za mapigano
[emoji419]kungfu panda
[emoji419]the big boss
[emoji419]the one -armed swordsman
[emoji419]the master of flying guillotine
[emoji419]tai chi master...
Ni kama wewe ni muwindaji haujawahi kumuona simba, au ni mvuvi haujawahi kumsikia nguva.
Okay maybe utasema simba wapo mpaka leo na sio mfano halisi, basi niseme ni kama wewe ni palaeontologist...
Wasanii waliochaguliwa kuwania Tuzo ya Mwanamuziki Bora wa Hiphop wa Mwaka kwa upande wa Wasanii wa Kiume katika Tuzo za Muziki za Tanzania TMA2022 ni
Kala Jeremiah
Billnass
Countrywizzy
Fid Q
Joh...
Heshima kwenu wakuu.
Nimekumbuka hizo movies hapo juu niliziangalia nikiwa mdogo, sasa nimezikumbuka nahitaji kuziangalia tena zote in series kuanzia ya mwanzo mpaka ya mwisho.
Najua wadau...
India?s pioneer in Express Distribution and Supply Chain Solutions, Gati Limited offers a customers? conjunction platform with Gaticonnect takes online jewellery shopping india to the next level...
Zilitukuza enzi hizo mimi na jamaa zangu tulikuwa tuna ratiba nzima. Ilikuwa kila siku za juma3 had ijumaa kuanzia saa 15:00H - 18:00H channel 10, tv Mozambique, TIM, ITV na Agape TV walitupa...
Habari za mda wakuu leo nimewaletea list bora kabisa ya movie za upelelezi nk
Naanza kutililika sasa
The Bourne identity
The Bourne supremacy
The Bourne ultimatum
The Bourne legacy
Jason...
Kisa nisameheni 01
Tunu na. Tunda ni mabinti waliozaliwa familia yenye maisha mazuri kiasi kwa kumaanisha kwamba haakuna shida hapana, bali walipata kile walichokitaka, walipata mahitaji muhimu...
Baada ya moonlight serenade 👇👇👇
Ambapo nilipokea maoni mbalimbali ambayo naendelea kuyafnyia kazi. nikukaribisheni tena kusikiliza wimbo mwingine uitwao therapy ambao nimeufanya mwenyewe mwanzo...
Na Album yenye wimbo huu ndio kazi ilimfikisha hapo
Bila kusahau kazi yake nyingine nzuri kwenye same Album
Na Shout out kwa walimuunganisha kwa Producer wao J. Dupri
TUTAYAMALIZA YOTE KUMHUSU AU TUTAYATAJA MACHACHE NA KUYASAHAU MENGI?
1. Kutokana na wimbo wake wa GHETTO LANGU, vijana wakaziita nyumba au vyumba walivyopanga kwa jina la NGWEA. Ilikuwa kawaida...
Hakuna Boys 2 Men bila Wanya,
Yule mwenye bass aliugua ajajitoa now wako watatu sio wanne tena.
Dizijui nyimbi zao mpya ila zile za zamani sauti ya Wanya moris inatafakarisha sana,ilikuwa sauti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.