Wakuu habar,
Ni wazi kuwa kuna nyimbo ukisikiliza moyo unajihisi umetua mazito uliyoyabeba hakika nyimbo za injili(gospel) ndio nyimbo pekee zenye kuvutia moyo apart from other song genre's...
10: "The Marshall Mathers LP" 2000
Msanii: Eminem
Katika album hii tunaona mtu mpya akileta style mpya katika rap. Sometimes serious, sometimes funny, sometimes violent, sometimes controversial...
Vipi hakuna wadau humu?
Mimi naifatilia nikiwa home, week imeshakata. Naona mambo yameanza kuchangamka ingawa safari hii pisi kali ni za kutafuta na tochi, nimeona pisi mbili tu...
Habari za siku wana JamiiForums,
Nipende kuwajulia hali na kwa wale wenye changamoto za kiafya poleni sana na bila shaka mtapoa na kupona pia
Moja kwa moja kwenye lengo kuu. Tafadhali sana...
Habari zenu wakuu. Poleni sana na siasa za gonga kichwa za nchi hii.
Baada ya kumaliza simulizi yetu ile tamu ya BARADHULI MWENYE MIKONO YA CHUMA, sasa basi nawakaribisha kwenye kigongo kingine...
Simulizi:- "Intelijensia inapokutana na nguvu ya upande wa pili wa dunia.
BARADHULI MWENYE MIKONO YA CHUMA.
Biashara kubwa ya magendo inafanywa na watumishi wa serikali akiwemo Bwana Malale...
IMEANDIKWA NA : GEORGE IRON MOSENYA
*********************************************************************************
Simulizi : Kizuizi
Sehemu Ya Kwanza (1)
Majira ya saa tatu asubuhi waumini...
Mwanamuziki Kiernan Forbes alimaarufu kama AKA alipoteza maisha Kwa kupigwa risasi siku ya ijumaa ya Februari 10, 2023 barabara ya Florida usiku mjini Durban, South Africa.
Kipi kilichojificha...
HADITHI: KIFO SIKU YA HARUSI YANGU
MTUNZI : ERIC J SHIGONGO
MWANZO
Mamia ya watu walikuwa wamefurika ndani ya ukumbi wa Pundamilia ulio ndani ya hoteli ya maarufu ya Atrium, karibu kila mtu...
Kati ya wimbo "Kapu" wa Juma Bhalo na "Bunduki bila Risasi" wa Shakila ni wimbo gani ulishida kwa mipasho?
Kapu (huu uliimbwa na Juma Bhalo, siyo Mohammed Mrisho kama ilivyoonyeswa kwenye video...
Peace and Much Love Family,
Karibu kwenye hii Deep Study juu ya majabali watatu wabobezi kabisa wa taaluma Ijulikanayo kama Emceein inayopatikana ndani ya Utamaduni wa Hip Hop.
Lengo kuu la...
Shanghai!
Wakati 2022 inaenda kubaki kwenye vitabu vya historia, tujikumbushe movie za huu mwaka
Kumekuwa na movie nzuri kama woman king, Black panther, RRR, Top gun Maverick, batman, avatar nk...
Wakuu habarini. Mtanisamehe kdg kwa uwandishi wng Kama mada apo juu inavyosema nitasimulia niliyopitia mpaka kufanikiwa kufunga ndoa na mke wng.
Mimi ni mtot wa 2 katika familia yetu...
SEHEMU YA 01
“Wewe una hoja Martha, kumbe unajua chakula kizuri...nikuambie kitu mke wangu.”
Martha alipoisoma meseji hiyo, akaguna kwanza, akamjibu”
“Mh! Nimekuwa mkea mara hii jamani?”
“Kwani...
OMUKAZI MURUNGI MUSICFESTIVAL
Sekta ya sanaa na burudani ni moja ya sekta inayokuwa kwa kasi hapa nchini kwetu Tanzania, sekta hii imekuwa chachu katika kuchangia mapinduzi ya kiuchumi, kijamii...
PROFESA
.
Kuna Nyakati Mechi ikiendelea Unabaini kabisa uwanjani Wachezaji wamebanwa na wamekosa mbinu Mpya wao binafsi ya Kujiokoa ili wapate ushindi
Lakini Ghafla utaona Nabi anafanya Maamuzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.