Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Hello JF Nimetumia namna tofauti katika kichwa cha habari ila lengo ni kutaka tujadili kuhusu movies za kizungu ambazo na nyingi hukusanya jumbe za maisha ya baadae mfano "Contingence" ni movie...
1 Reactions
3 Replies
471 Views
Ni lini timu yetu ya taifa itafika mbali? maana ikifanya vizuri mara moja tu, wanasiasa wote wanakuwa motivational speakers, mara huyu anatoa sijui tiketi, huyu sijui motisha, mara huyu anatoa...
0 Reactions
0 Replies
402 Views
1.Eeh Bwana uniinue 2.Narudi Njoo na ngoma ya kitabu chako. Barikiwa sana mtoto wa Mungu. Lets Go!
5 Reactions
33 Replies
2K Views
Jamaa anajua sana kuigiza na ana muonekano fulani wa kisanii lakini sijui anafeligi wapi yani. Nahisigi alikuwa na potential kubwa zaidi ya hapa alipofika since the wire HBO lakini sijui...
6 Reactions
21 Replies
1K Views
Habarini, ndugu mimi ni muandishi wa script za movie ninaejifunza.Nimepata changamoto ya kujua.Jinsi ya kuandika script za Series yaani filam zenye muendelezo.Ninapenda kujua vitu vifuatavyo...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
16 years ago today, Rihanna released ‘Umbrella’ featuring Jay-Z. The Grammy-winning song served as the lead single off ‘Good Girl Gone Bad.’ It reigned atop the Billboard Hot 100 for seven...
0 Reactions
1 Replies
477 Views
LANGO LA MOTONI CHAPTER 1 Jumatatu YA TAREHE 26/12/2022 Majira ya saa tisa na dakika arobaini na saba kulionekana dada mmoja ambaye hakuonekana nadhifu kwa mwonekano wa mavazi yake pamoja...
1 Reactions
26 Replies
6K Views
Ed Sheeran tells Rolling Stone that he wanted Jay-Z to be on “Shape Of You.” “I sent him the song, and he said, ‘I don’t think the song needs a rap verse.’” “He was probably right. He’s got a...
2 Reactions
1 Replies
405 Views
Buriani waungwana, limenipata dubwana, Mapema tunaagana, Ningali bado kijana, Maumivu yanibana, kuandika nangangana, Buriani waungwana, limenipata dubwana, Sina wa kumpa lawama, hata Zerea...
0 Reactions
8 Replies
459 Views
Morng Africa. Mimi ninyimbo zangu bora kabisa ni hizi 1) Moyo wangu umekuambia 2) Nalisema nitayakili maasi yangu kwa bwana 3) Fahari yetu ni msalaba 4) Ikatoka damu ikatoka maji pia 5) Mama pale...
1 Reactions
0 Replies
649 Views
Katika pita pita zangu YouTube nilikua nimeumiss wimbo wa Ambwene mwasonge "unikumbuke" maana hua navutiwana Melody yake pamoja na ujumbe ndani ya wimbo huo. Wakati nasikiliza wimbo unao simulia...
3 Reactions
16 Replies
3K Views
Kuthibitisha kuwa kijana bado ana njaa ya mafanikio,tarehe 22 July ataachia project aliyoifanya na msanii kutoka Marekani,Future. Diamond Platnumz ameyasema hayo kupitia account yake ya...
7 Reactions
67 Replies
12K Views
Kwanza tu jina lake ukilisikia limekaa kibabe. Mandonga Mtu Kazi. Huyu jamaa amewafanya watu wengi wafatilie ngumi tofauti na ilivyokuwa awali. Hapa naongelea wale watu wasiopenda huu mchezo hasa...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Link ipo chini, katazame huko youtube, like na u subscribe asante sana. Filamu Pictures, wanawaletea kazi ya filamu ya kitanzania iitwayo PETE Kutana na Bwana Lidawi, mvuvi mwenye hali ngumu na...
5 Reactions
63 Replies
3K Views
Habari ndio hiyo hapo juu. Na utu uzima wangu huu nimelia michozi. Teknolojia ya juu mno.
2 Reactions
51 Replies
6K Views
Mfano nitajuta -yamoto band na nakukumbuka -Diamond beat ina ukakasi Socco ya wizkid na chombo ya rayvany kuna ukakasi Swagilie ya weusi na started from bottom kuna ukakasi ......endeleza...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna mahali nimekaa napata kilaji, kuna nyimbo zimepigwa hata sijaamini. Hii ni aina ya miziki ambayo ni ngumu kuisikia mitaani, kuna jamaa yangu aliwah niambia kuwa nasikiliza nyimbo ambazo...
12 Reactions
33 Replies
2K Views
MIKWAJU 50 KUTOKA KWA DUNGA Nilianza KUSIKIA kazi zake akiwa na ndugu yake aitwaye SHAKII, huku wakisuka MIDUNDO mikali. Miaka ikaenda, nikamsikia akifanya ushirika na LAMAR pale 41 RECORDS...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwa tuliokuwa tunafuatilia kwa karibu Hip Hop ya Bongo tunaikumbuka vizuri Mixtape ya Antivirus. Hii ni mixtape iliyokuwa engineered na Joseph Sugu na wenzake wakiwepo Mapacha, Rado na wengine...
4 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom