Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Baadhi ya wadau walisifia Sana serial ya money heist nikaona isiwe taabu Acha niitafute nione kama hiyo ladha yake itafanana na prison break na 24 lakini cha ajabu humo ndani ilijaa ujinga mwingi...
20 Reactions
88 Replies
6K Views
Kati kila fani kuna wenyewe sikuhizi simulizi, au story za kusimulia kwa mfumo wa sauti zimekua maarufu sana hususan huko YouTube Kati ya Jamal April wa the story book, Ananias Edgar huyu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
CLICKBAIT Series nyingine ya kiume hii hapa. Humu kuna jamaa anaitwa Brewer, siku ya birthday ya mama yake, kukatokea kaugomvi kadogo tu na mdogo ake, Pia, so dogo akasepa. Kesho imefika, watu...
23 Reactions
177 Replies
26K Views
Kisa hiki kinapatikana kwenye kitabu Unyonge wa Mwafrika. Chai ya Kandambili Wakati mmoja nilipata kuwa Karani Mkuu wa Boma, wenyewe humwita Chief Clerk. Chief Clerk enzi za mkoloni mtu mkubwa...
3 Reactions
7 Replies
427 Views
Habari Sasa hivi katika android na iOS wanatuletea games zenye graphic kali kama kwenye PC vile haya hapa chini ni majina ya games kali za kwenye simu za android na iOS Number one ni truckers of...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Hello bosses, Kwanza niwe mkweli tu, napenda sana movie za martial arts na ujasusi. Hii Drama ya Princess Agents ni tofauti kabisa na drama za kichina zilizokuwa zimezoeleka. Baada ya kuangalia...
1 Reactions
3 Replies
399 Views
Achana na 2PAC pamoja Na B.I.G Mwana Hip Hop gani anaweza kushindana na EMINEM. Kwenye mauzo,charts, n.k Rapa gani anaweza kubattle na Eminem..... #forgive Me
5 Reactions
160 Replies
11K Views
. Soma kisa hiki Cha (Bint wa mfalme) Mfalme alitangaza kuwa anahitaji kijana ambae atamuoa binti yake, mfalme alikuwa akihishi uko milimani kwahiyo vijana walipewa taarifa kuwa Mfalme anamuoza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Yeah unaweza sema the dangerous killer Mr keanu Reaves a.k.a John wick himself is back. Waandaaji wa filamu hii na duru za uhakika wameweka wazi kuwa baada ya kimya Cha muda mrefu, basi filamu...
10 Reactions
38 Replies
1K Views
Muziki ni njia nzuri ya kuweka akili yako imara na kukusaidia kujisikia vizuri. Wataalam wa tiba ya saikolojia wanathibitisha kuwa muziki ni tiba bora kwa magonjwa ya akili kama vile wasiwasi...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Naam Naam yeye ni zawadi ya kimwambao, binti wa pwani. Sijui nimuite malaika wa kibantu, kihabeishia au kiajemi sielewi nimuweke kundi lipi hata Unaweza kuuona uzuri wa wake pia kwa kuitazama...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kiernan Jarryd Forbes, ‘AKA’ alizaliwa Cape Town nchini Afrika Kusini Januari 28, 1988 na alijiingiza katika anga ya muziki mwaka 2002 alipoanzisha kundi la Hip-Hop lililoitwa Entity pamoja na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mama hey hey hey Say hey Nakupenda maa Basi njoo maa Mi kila saa kabisa kwako kichaa Girl just listen, tuishi kwama Eden Nakuweka kwenye top 10 Nadata na reception Mi nachoka hoi, pande zote...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Niite Lyrics Niite basi mpenzi uwe wangu Nikakutambulishe kwa ndugu zangu Shida zote ulizo nazo ni za kwangu Njoo home, njoo home Niite basi mpenzi uwe wangu Nikakutambulishe kwa ndugu zangu...
4 Reactions
2 Replies
944 Views
Msanii Nyota kutoka Nigeria, Burna Boy ameonesha hisia zake baada ya kifo cha msanii AKA ambaye aliuawa kwa kupigwa Risasi siku ya Birthday yake February 10, 2023 jiji Durban wakati akitoka...
5 Reactions
13 Replies
716 Views
Baada ya kuachia tribulation ngoma ya kumdiss rapcha naona ata ngoma zake zimeanza kupepea hewani hata wasomjua dizasta wamemjua Sasa. Hila jamaa flow yake haibadiliki ana usanii ule wa kizamani...
0 Reactions
12 Replies
709 Views
CHAPTER 1 South Tanganyika, Early 1899 An early morning, I think it was probably way too early than usual for me since the sun was barely out and shining through the thick tree that surrounded...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Mcheza bongo Mac Muga Yuko single sana Mac Muga Ukimwona mtu akijinamia kwa sababu ya maisha yamchanganya Chali wangu alizamia Kuenda kusini mwa Africa Huku pia akimchanua kwa sababu ya maisha...
0 Reactions
4 Replies
888 Views
Baby usilie Mi najua wazo lako Ni kuwa na mimi leo mpaka kufa (baby Candy usilie) Nenda shule kwanza Halafu mambo ya love ndo baadae yatafuata Usione nadharau Hata mimi nakungoja baby Candy Wala...
1 Reactions
3 Replies
395 Views
Oooh siamini Kama tuko wote Kama tuko wote Mimi na wewe Oooh siamini Kama tuko wote Kama tuko wote Mimi na wewe Wajua pendo letu lilipotoka Si mbali sana mpenzi siwezi me sema Milima na mabonde...
0 Reactions
8 Replies
751 Views
Back
Top Bottom