Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Hii movie ni kali sana ukiiangalia kwa makini. Inaanzia wachungaji wawili mume na mke wanahubiri mtaani wakitembea, halafu kuna mabinti watatu kama sijakosea wanaanza kuwacheka wale wachungaji...
1 Reactions
3 Replies
484 Views
Moses Nakintije Ssekibogo, maarufu kama Mowzey Radio, alikuwa Mwanamuziki wa Kundi la GoodlyfeCrew, pamoja na Weasel Manizo, waliotamba na nyimbo nyingi ikiwemo Breadandbutter Mowzey Radio...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamaani enzi zile watu naona tuliinjoy Sana ukilinganisha na mziki wa kizazi kipya. Mfano Leo nilikuwa nimekaa sehemu nakuta DJ ameweka mziki wa bendi ya Sasa Kamanyola wakiwa na Maestro King...
4 Reactions
12 Replies
551 Views
Kama wewe ni shabiki wa Filamu za Bad Boys, jiandae kwa ujio mwingine wa #BBIV. Jarida la #Variety limeripoti ujio wa Filamu hiyo na tayari iko katika utayarishaji wa awali kupitia kampuni ya Sony...
2 Reactions
2 Replies
786 Views
Licha ya Wadau wa Burudani kufurahia #Beyoncé kurejea jukwaani baada Miaka 5, baadhi wameoneshwa kutofurahishwa na Nyota huyo kutumbuiza katika Nchi yenye Sheria kali dhidi ya Wapenzi ya Jinsia...
1 Reactions
4 Replies
989 Views
Taasisi ya CINT inayofanya kazi ya Utetezi, Uzengezi na Uwezeshaji, Kuwaunganisha Wasanii na Taasisi zao na Kuzungumza kwa niaba ya Sekta ya Ubunifu Tanzania katika maeneo ya Sera, Fedha, Sheria...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Hawa ni The best Niger female Actress. Kwa wale wapenzi wa movie za Nigeria mtakuwa mnawafahamu Kwa uzuri Hawa Wadada.[emoji276][emoji276] Mshana Jr DeepPond
2 Reactions
35 Replies
4K Views
This Pdf concerns the book of Proficies written by Frenchman author Nostradamus in the year of 1500's.To share his experience of what will happen in the future up to year 3200.
0 Reactions
0 Replies
273 Views
lala, amka kumbuka kuwa lengo kuu la mwaka ni kutafuta pesa ili wanao wasije kupitia mateso, misukosuko na majuto uliyopitia... swali ni kwamba unazipataje hizo hela? hasa kwa wale wasomi ambao...
4 Reactions
1 Replies
480 Views
Filamu ni ya kizungu (western). nadhani inaweza kuwa ni horror. plot yake ipo hivi. Ndani ya familia ya kitajiri lakini utajiri wake unaoonekana ni kwa njia ya kishirikina. Kulikuwa na kijana...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
UTANGULIZI Kifo kina wivu sana, hutuondolea wale tunaowapenda. Hutuacha na majonzi na kumbukumbu za kuumiza, lakini pia hutubakizia jeraha kubwa ambalo hata likipona basi hutuachia alama ya kovu...
12 Reactions
256 Replies
50K Views
CC: Son of Gamba, Heaven Sent
11 Reactions
455 Replies
34K Views
NILIAHIDI NATEKELEZA. Tunaanzia mbali kidogo kujenga msingi.... Katikati ya umri wa kuhitaji malezi bora yanayohusisha wazazi wote wawili, baba na mama yake wanafarakana kiasi cha kufikia...
0 Reactions
4 Replies
772 Views
Hii ndio nyimbo Bora ya muda wote katika karne ya 21. Mkuu wa Burudani Tanzania nimeipitisha Nikiwa Udinde-Songwe
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Story: MCHUNGAJI MCHAWI. Mtunzi: Nellove😎 Episode: 01 WhatsApp: 0759941164 "Naitwa Juliana. Napenda kumshukuru sana Mungu mwenyezi kwa kunitendea muujiza mkubwa maishani mwangu. Sikuwahi...
2 Reactions
8 Replies
6K Views
jaman wadau naombeni kuuliza huyu petitman wakuache ni maarufu sana naomba kuuliza yy hasa umaarufu wake ni wa nn kwa anayejua
1 Reactions
15 Replies
6K Views
Naweza Kusema Kwa Umbali Mkubwa Sana Hii Ni The Best Videogame Ambayo Imewahi Kupelekwa Live-Action Na Kuwa TV-Series Kwenye Kiwango Bora Leo Tunaanza Na Episode Ya Kwanza Ijulikanayo Kama "When...
2 Reactions
4 Replies
973 Views
Hapo zamani, kulikuwa na mwanamke anayeitwa Sara. Aliishi katika kijiji kidogo ambapo kila mtu alimjua mwenzake. Sarah alikuwa na ndoto ya kuwa mama, lakini hakuwahi kupata mtu sahihi wa...
1 Reactions
4 Replies
631 Views
Nimejikuta naangalia kwa bahati mbaya hiki kipindi, for sure judges ni wehu. Wanalazimisha presenters wanaokuja jaribu vipaji vya utangazaji wa magazeti lazima wapayuke kama Zembwela au Maulidi...
3 Reactions
4 Replies
977 Views
Me nazokubali kutoka kwenye album zake na kuzisikia kila mara. 1. UFUNUO WA UNJU BIN UNUKI ~ Natoka tanzania ~ Excuse me miss ~ Where my crown are ALLHAMDULLAH ~ Hands down low ~ Tulia na mimi...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom