Wadau habari zenu
Nawakaribisha kunisapoti kwenye muziki wangu wa bongo FLEVA
Instagram napatikana kama @ricky_tz_
YouTube ni Ricky tz
Muziki mzuri ni burudani ya maisha
VYUMBA VYA WATU WALIOACHWA NA WALIOOA TENA
By: Aston Adam Mbaya in Congo 8
Ndugu, Bwana alipokuja, alinichukua hadi mlimani, na tulipaswa kwenda Kuzimu. Tulisimama juu ya mlima.
Nilimuuliza...
Habari wanajamii forums,
Nilikuwa nahitaji site ambayo naweaa kupatq album za Mr II A.K.A Sugu maana YouTube sipati nyimbo zote. Kwa yeyote mwenye album zake naomba anisaidie.
Asante.
Rapa rapcha aliye chini ya mkongwe baba la manyani P Funk aka Majani majuzi aliachia Diss track inayoitwa STORY NYINGINE akiwaponda wasanii wa hip hop kadhaa, mmoja wa wasanii aliyepondwa ni Mkali...
DIZASTA VINA KIBABU NA BINTI....
Aisee ifike mahali tuamini kumbe bado Hip-hop ipo mikono salama.. [emoji16]
kiukweli nilishaacha kabisa kusikiliza hip-hop ya vijana wa kizazi hiki coz mistari...
Kuna mipango kabambe inaandaliwa ya kufanya beach party kubwa sana ya kushangilia ushindi dhidi ya Corona Jumapili na kuna tetesi Diamond platnumz akaongoza shamra shamra hizo, hii imekaaje?
HEKAHEKA!
Na Bishop Hiluka
0685666964
Dondoo:
Wanamwita “Gaidi Mstaarabu” kwa kuwa ni mpole, mcheshi na mstaarabu sana! Mafunzo ya kijajusi aliyoyapata katika nchi za Israel na Libya yamemfanya...
Habari zenu wakuu! Naomba nisiwachoshe wanaJF....
Shida yangu nilikua ninaomba msaada wa kupata nyimbo kali za kuparty (kubang) ziwe za Bongo Flavour,Amapiano,mamtoni,afro-beats n.k
Yaani ziwe...
Mawazo yamenijia leo aliokuwa mzee wangu akisema dunia ni msongamano wa watu wenye akili tofauti.
Ukitaka kuishi vema fikiri kabla ya kujibu jifunze kwa walimwengu walimwengu wajifunze kwako...
Ninaandika nikiwa na masikitiko makubwa kuona maumbile ya wanawake yanatumika kwenye mambo ya kijinga. Miaka ya hivi karibuni tasnia ya uchekeshaji (comedy) imezidi kuchanja mbuga na kufanya...
Mkurugenzi wa Sera na Mipango Bwana Haji Janabi (kushoto) akiongea na wajumbe wa Kamati ya Maandalizi kutoka Tanzania na Afrika Kusini katika kikao awali kufikia kwa maandalizi ya Tamasha la Msimu...
Wakuu nimetazama hii series mwanzo mwisho kupitia simu yangu. Ukiona Hilo jina utasema inahusu wanyama labda,
Kwa kweli ni series nzuri Sana inayo husu madawa ya kulevya mitifuano ya kufa mtu...
Wimbo wa Shakira kuhusu mpenzi wake wa zamani Gerard Pique kwa kumdanganya umevunja rekodi ya kutazamwa zaidi kupitia YouTube.
Video ya Out of Your League imetazamwa zaidi ya mara milioni 63...
Wanajamvi, "Mke na mume wakipigana, wewe shika jembe ukalime":
Baada ya kimgogoro kidogo, Sony na marvel wametangaza biashara kati yao inaendelea. Hiyo inamaanisha Spider Man anabaki Marvel...
Gwala kwa wana Jf wote, naamini bado tunaendelea kupambana na maisha.
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Nyimbo nyingi kutoka Afrika Magharibi zinaandaliwa kwa ubora mkubwa...
Naifikiria miaka mia moja ijayo, au labda mia mbili au mia tatu!! Ni nini itakuwa hatma ya dunia? mbari ya binadamu (human race) itaendelea kutawala?
Mpaka kufikia siku ya leo, Tarehe 13 March...
chunga moyo ,,moyo unataka vingi tena utosheki huu moyo kwa tamaa ya moyo kunganga na shilingi.......
Tena utosheki huu moyo ikiibidi kupambana vyovyote ili tupate kurumbanarumbana SI vyema...
Unaitwa "Tizita" na ameimba mwanamama anaitwa Aster Aweke. Naupenda sana kwenye melody yake na unanipaisha sana. Sasa usijekuta anazungumzia kilimo au baa la njaa huko kwao nami naweka fantasy...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.