Hi 👋
Ningependa kushea orodha yangu ya nyimbo bora walizoshirikishana wasanii wa bongo ambazo hazichuji hata ikipigwa leo hii lazima uipende. Naruhusu kurekebishwa penye makosa, lakini pia nipende...
Msanii dimond platnumz ametoa kibao kipya kinachokwenda kwa jina la zuwena...wimbo mzuri sikatai ila kwa maoni yangu mimi binafsi ilikuwa sio lazima kuita zuwena...angeita hata Antonia tu...
RIWAYA; DOA
-----1-----
Ulikuwa ni muda sahihi kwa kila mmoja
kurejea nyumbani, muda ambao jua lilikuwa
limeanza kuiacha Mashariki yake na kwenda
kwa mchepuko wake bi. Magharibi. Harakati...
Kulingana na mchango wake mkubwa katika kuukuza muziki wa kizazi kipya napendekeza msanii mkongwe Chidi Benzi apatiwe PhD ya heshima sasa akiwa hai kama alivyopatiwa Babu Tale
Kwenu EA Radio
Binafsi ni msikilizaji wenu mzuri wa vipindi vya Superbreakfast na EA Drive.
Sijui ni sababu gani hasa imefanya kuwaondoa Evans Bukuku, Bobby Mongi na Chris Lugoe katika kipindi...
Dizasta vina hatia 1V.(hatia ya nne)
Hii kwangu ndio ngoma bora zaidi kutoka kwa Dizasta, Sijaona ngoma ya Dizasta inayoweza kukaa juu ya hiyo. Sio Mwanajua,Shahidi,Kikaoni wala Kibabu...
Hapo zamani za kale, katika kijiji kidogo kilichokuwa milimani, kuliishi mwanamke mmoja aliyeitwa Mariamu. Mariamu alikuwa mtu mwenye fadhili na mpole, aliyependwa na watu wote kijijini. Hata...
Habari nilikua naomba msaada wakupata qaswida ya Al Madrasat Raufu Rahim inaitwa zawadi nimeangaika sana YouTube sijapata naomba mwenye nayo anitumie 0693620048 wsp
RIWAYA; MWIBA WA CHUMA.
Na; Bahati Kisarwa Mwamba.
Simu; WhatsApp 0658564341
1.
Siku kwake ilikuwa inaelekea kuisha vema. Jioni ya siku hiyo aliamua kuimalizia kwa...
Mkali wa Bongo Flava, Toto Bad a.k.a Marioo ameshare picha ya Plaque kutoka Boomplay zikionesha idadi ya watu usikilizwaji wa albam yake pamoja na wimbo wa Mi Amore ambao umepata streams Milioni...
Ni bora nijuue kuliko haya yatayo nifika, nitakufa kikatili na kupoteza kila kitu nilichokipigania kwa jasho na vitisho ( Vera aliongea na moyo wake akiwa kwenye basi akitokea wilaya ya handeni...
Wakuu habari za asubuhi, Kwema ndugu zangu. Watu wa Hip Hop nawaomba hapa.
Hivi ni kweli Album ya Profesa Jay, Machozi Jasho na Damu. Ndio Album Bora ya HIP HOP ya muda wote?
Kama ni kweli kwa...
MISS TANZANIA
SEHEMU YA 1
MTUNZI : PATRICK.CK
“Patrick amka darling inakaribia saa nne sasa”Alisema Veronika kwa sauti laini ya kubembeleza.
“‘Mmmmhhh”Akaguna Patrick ,akajigeuza upande wa pili na...
Chris Brown ameonesha hisia za kutopendezwa na kitendo cha kukosa tuzo ya Grammy kupitia albamu bora ya R&B, kwa kueleza kuwa hajawahi hata kumsikia mshindi aliyetajwa ambaye ni Robert Glasper...
Chris Brown amemuomba msamaha Robert Glasper baada ya kumkashifu kufuatia kushindwa kwake katika uwaniaji wa Tuzo ya Grammy.
Mwimbaji huyo wa "Under the Influence" ameweka picha Instagram ikiwa...
Sekta ya muziki duniani inajitayarisha kwaajili ya usiku mkubwa wa mwaka kupitia tuzo za 65 za Grammy. Huku wasanii wa Kiafrika wakipokea teuzi za kihistoria katika kategori tofauti mwaka huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.