Wanasema zubaa uchekwe na Ujanja ni kupata/kuwahi,
Unaweza ukawa uliisha isikia redio inaitwa TONE RADIO (TONE MEDIA COMPANY) Hawa jamaa waliibuka mnamo mwaka 2012 wakiwa na namna ya urushaji wao...
Hadithi: TEARS IN MY HEART {Machozi moyoni mwangu}
Mtunzi: SALUM SAID NGUATE
Simu:0784989666
Sehemu ya KWANZA
Nadhani alikua muhanga wa MOYO wake mwenyewe. MOYO wake unamnisaliti kila iitwapo...
Hadithi: TEARS IN MY HEART {Machozi moyoni mwangu}
Mtunzi: SALUM SAID NGUATE
Simu:0784989666
Sehemu ya KWANZA
Nadhani alikua muhanga wa MOYO wake mwenyewe. MOYO wake unamnisaliti kila iitwapo...
Hadithi: TEARS IN MY HEART {Machozi moyoni mwangu}
Mtunzi: SALUM SAID NGUATE
Simu:0784989666
Sehemu ya KWANZA
Nadhani alikua muhanga wa MOYO wake mwenyewe. MOYO wake unamnisaliti kila iitwapo...
Kama ilivyo Katika michezo mingine ya Maigizo Kama vile Film, Pia mchezo huu wa Mieleka ni Maigizo so kweli unacho ona hapo ni 100% ukweli hapana.
Michezo hiyo hua imeandaliwa kua pambano hili...
Wimbo wa champion at first time niliuona kwenye status ya rafiki yangu, maneno yake yalinivutia hasa pale anaposema "tumeishi na watu wanaoamini kuwa bahati bahati zote alipangiwa Bukuku" enewei...
Nahitaji kufika hapo na hasa kuonana na CEO kwa lengo la kuteta kidogo kuhusu wimbo fulani mpya
Najua iko sinza ila eneo gani ndio sijajua.
Mwenye ufahamu tafadhali tujulishane
Nazungumzia magoma yaliyolitingisha bibaya sana bara la Africa kwa mwaka 2022, dude sio lazima liwe limeshuka 2022 lakini kwenye iwe harusi, Kipaimara, birthday hata club hukosi kulisikia...
[emoji682][emoji682][emoji682][emoji682][emoji682][emoji682][emoji682]
Sehemu Ya Kwanza (1)
Ilikuwa ni siku ya jumamosi majira ya saa kumi kamili za jioni, hali ya hewa ilikuwa ni ya mvua...
Nipo mahali hapa, wimbo wa Jay Melody Nakupenda unapigwa.
Hii imenisukuma niandike chochote, hakika kutoka ni suala la muda tu. Huyu dogo wakati anaanza nilikuwa namuona anapoteza muda tu, lakini...
Kwa wale waliowahi kutazama series ya Jumong hii ni sound track number 7, ni moja ya soundtrack kali wabongo wameicopy na kuitumia kwenye movie nyingi sana
Kwa waliotazama series ya Spartacus...
HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA.
Chapter 1
Kama miezi miwili hivi iliyopita nilikuwa zangu katika mihangaiko yangu nje ya jiji la mbeya.
Usiku mmoja majira ya saa nne na nusu nikiwa chumba cha...
Binafsi ni mpenzi wa muziki especially Hip Hop that doesn't mean I don't listen to other kind of music. Muziki wowote mzuri mi nasikiliza nyuma nilikuwa napata shida kusikiliza muziki wa taarabu...
Hizi hapa ndo tano bora za mziki wa taarab
1.Siwaguni siwakohoi=Fatma mcharuko ndani ya YAH TMK MODERN TAARAB
2.Kibaya kina mwenyewe= Aisha vuvuzela ndani ya YAH TEMEKE MODERN TAARAB
3.Nataka...
Wanasema waswahili kizuri ni kizuri tu
Hii ndo nyimbo bora kabisa kaimba bi mwanahawa ally
Kwa sasa imekua ni ngumu mno kupata nyimbo zenye flavour adhimu ya taarab hususan kileo ambapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.