Habari
Sitaki kukuchosha msomaji now days hakuna sehemu unaweza enda ukapata taarabu nzuri ukasikiliza mpka mawazo yakapotea enzi zile ukiwa na stress za mapenzi unasikia wimbo njiwa peleka...
Habari!
Mwaka jana nilizungumza kitu kuhusu hawa comedians jinsi wanavyotisha. Wachekeshaji wetu waache kupoteza muda kuropoka.
Mimi wachekeshaji wetu wanabiboa, kazi yao ni kuropoka majukwaani...
Hip hop ni aina ya muziki unaoelezea aina ya usanii na utamaduni uliyotokana na jamii ya Wamarekani Weusi na Walatino kunako miaka ya 1970 mjini New York City, hasa katika kitongoji cha Bronx na...
Nasibu Abdul Juma Issaack (maarufu kwa jina la kisanii kama Diamond Platnumz;Alizaliwa Dar es Salaam, Tanzania, 2 Oktoba 1989) ni mwimbaji wa nyimbo za Bongo Fleva na dansa kutoka nchini Tanzania...
ROUND 1: HIT 'EM UP.
"Hit 'Em Up" ni wimbo wa kunangana uliotungwa na Tupac Shakur, akishirikiana na kundi lake la rap la Outlawz. Wimbo ni wa upande wa pili wa single ya mwaka wa 1996, "How Do U...
Binafsi niseme tu hawa waheshimiwa Tx-Moshi, Mzee Gurumo, Mbwembwe, Mzee Mabera, Mahina, Momba na wengine ambao sikuwataja na bendi zao walifanya kazi kubwa kwani mziki wao bado unaishi kwa...
SSERIES NZURI ZA 2022 -
1. House of the Dragon Season 1
2. Better Call Saul Season 6
3. Andor Season 1
4. The Boys Season 3
5. Ozark Season 4
6. Top Boy Season 4
7. Obi-Wan Kenobi Season 1
8. Tom...
Nadhani tunakubaliana kwamba kwenye kila, "usiniseme, kama napenda kula" au "Namtafuta Bata wangu yule wa Rangi Nyeusi"
pia kuna ma-genius wanakuja na kazi ambazo maneno yake yamepangika na yana...
NTAGAMBI.......19
Mtunzi; Lovi Pius Kijogoo.
0757 238 304.( WHATSAP )
Tanga.
SEHEMU YA KUMI NA
TISA..
( 19 )
ILIPOISHIA......
Alipoinua kichwa Ntagambi, kwa mbali aliona Jengo la mfalme...
Ukisikia Rap...ni michano, kuchana, kufloo,nk.
Ni aina ya ushairi mbaya...
Yani huwezi kulinganisha mashairi ya Shaaban Robert na mashairi ya Young lunya au fid q.
Mashairi ya Rap mara nyingi...
Huwa napenda kujifunza mengi kuhusu filamu kwa sababu najiandaa kuingia kweynye ulimwengu huo hivi karibuni. Huwa najiuliza ni kitu gani hufanya Bongo Muvi kutokuwa na mvuto wa kuangalia? Nini...
1- taylor swift anti hero
2- mbosso huyu hapa
3- SZA nobody gets me
4- kizz daniel cough
5- Drake ft 21savage Rich flex
6- The weekend die for you
7- rema ft sele gomez calm down
8- the kid...
Mfanyabiashara na Meneja wa Masuala ya Sanaa nchini, Sallam SK Mendez, amefunguka kuhusu taarifa za mtandaoni zinazodai kuwa ameiacha Lebo ya Wasafi Record ya Diamond Platnumz (WCB) kujiunga lebo...
Washaimba wasanii nyimbo nyingi kuelezea nafasi ya mwanamke katika jamii, Washaandika waandishi wengi wa hadithi na vitabu kuhusu nafasi ya mwanamke katika jamii.
Serikali na asasi za kiraia...
Ni series ya muendelezo wa ile iliyo tangulia ya game of thrones kutoka HBO..
Series ime base na House Tygaryan ambao ni dragons rider na rulers wa Seven Kingdoms za westoras ambao ki asiri wao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.