Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Wana JF nawasalimu. Naomba mwenye mapendekezo ya series Kali za kuangalia Netflix anijuze tuenjoy wote. Kumbuka NETFLIX tu kama ipo
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nyimbo Ni nzur sana kwa dini zote mtu yoyote anaweza kuitumiaa katik mapito anayo yapitia hata hasiye na dini pia inamfaha San. Nyimbo inampa mungu SHUKRANI kwa yote aliyokufanyia kwa kipind...
1 Reactions
5 Replies
816 Views
MTUNZI : AKIDA S. RAMBAO Contact : 0658328596 email: akidasiri@gmail.com SEHEMU 1 (A) : JINAMIZI LA SIKITIKO. Kijiji cha kishanje, Makaburini, Bukoba-Kagera. Dodoso: Ni maumivu yanayo ukoroga...
4 Reactions
206 Replies
26K Views
Habari ya Asubuhi Wakuu, Naona Week end ndio imeshaanza. Tupia Song lolote la reggae unalolikubali. Mimi nimeanza na hilo.
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Dar es Salaam. Ni lazima kuvaa nguo mpya wakati wa sikukuu? Ni swali linalotawala nyakati za sikukuu za mwisho wa mwaka, ambapo kwa wengine bila kuvaa nguo mpya, mwaka unakuwa haujaisha. Japo...
0 Reactions
0 Replies
575 Views
Wakuu yaani hizi ni lazima niwe nazo kwa ajiki ya kunifariji safari hasa nikiwa naambaa na kona za Iyovi yaani nasikia raha kabisa 1.Werasin-Blandine 2.Tshala Muana-Tshibola 3.Felle gola-100...
4 Reactions
33 Replies
7K Views
Wadau, Mimi ni mpenzi wa movies ambazo mtu inakuwa ngumu kuzielewa wakati unaziangalia, movie itaniboa iwapo nitatabiri mwisho wake mwanzoni mwa movie, najiita napenda movie NGUMU. Kwa mara ya...
4 Reactions
14 Replies
3K Views
Muigizaji Henry Cavill ameondolewa kama Superman na mabosi wapya wa Studio za DC, chini ya miezi miwili baada ya kutangaza kurudi kwenye nafasi hiyo. "Nimekuwa na mkutano na James Gunn na Peter...
3 Reactions
5 Replies
933 Views
Habari zenu wakuu, Kuna nyimbo nakumbuka mistari yake na kisa chake, sauti ya Saigon pia IPO kwenye hiyo ngoma,kisa cha nyimbo ni washikaji maisha magumu hawana pesa za mavazi wala maradhi...
1 Reactions
0 Replies
388 Views
Kwenye hii clip kuna wimbo unapigwa hapo anayefahamu msanii na jina la wimbo atusaidie tafadhali.
0 Reactions
9 Replies
669 Views
Kwanza kabisa nisamehewe kwa mtu yeyote nitakaemkwaza kwa picha hii.huu ni wimbo wa injili uliojulikana kwa jina la NAKULILIA JEHOVAH.nimekua nikiutazama wimbo huu bila kuuchoka toka enzi za miaka...
2 Reactions
29 Replies
7K Views
Daaaah aisee huu wimbo wa Meja Kunta uitwao Demu wangu aliowashirikisha Mabantu ni mkali sana kuanzia audio mpaka video. Video yake kali sana na amenikosha zaidi kwa kumuweka Tunda kwenye video...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
"Oooh pesa oo pesa ,kila mtu anakuhitaji,katika dunia hii. Oooh pesa una majina mengi ,oooh pesa wewe kitu gani" Old is Good Wakuu naomba msaada wa wimbo huu mana nimeutafuta bila mafanikio
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wanaburudani habari zenu, Mziki wetu kuna vionjo fulan vya zaman vinakosekana, Hasa kwenye kiitikio ungemkuta dully Sykes, nature au q chief Hebu tuanze na juma nature, 1. Radhia 2. Mzee wa...
2 Reactions
110 Replies
19K Views
Kwanza tuwe wawazi kwamba miaka ya 1990 ukionekana unaimba bongo fleva ilionekana we ni muhuni, mwizi au mvuta bangi, Haikuwa kazi ndogo sana kuifanya bongo fleva Ikubalike, Kubali ukatae hawa...
19 Reactions
97 Replies
24K Views
Jamani leo nimeona sio mbaya nikishare muvi kali ambazo mimi nimezikubali mwaka huu2022. Muvi zenyewe ni hizo hapo 1. Minions Rise of Gru (2022) 2. The Bad Guys 3. Uncharted 4. Sonic the...
15 Reactions
79 Replies
7K Views
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, naombeni hizo Amapiano kali.
2 Reactions
20 Replies
6K Views
Salute Sana Kwake Sijaona Zaid yake 1. Kidimbwi 2. Mamu 3. Madanga ya Mke Wangu SALUTE sana[emoji119] Ongezea....
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Oya wana kibaha eeeh!! Em njooni apa. Hivi hii ndio finest yenu? Yani kibaha nzima hakuna msanii wa maana mkaamua mtuletee huyu maarifa?? Ana maarifa gani? Anaimba utumbo gani? Kuna mtu...
4 Reactions
25 Replies
1K Views
1. Children in the Street 2. Don't Cry 3. Feel Alright 4. House of Exile 5. Love Me the way I am 6. Mama Africa 7. Peace Perfect Peace 8. Prison 9. Puppet Master 10. Reap what you Sow 11. Reggae...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom