Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Nyimbo za Kombe la Dunia Waka Waka itabaki kuwa the best generation to generation, kwani ndiyo wimbo pekee wa Kombe la Dunia ambao haujawai chuja. Mtunzi alipiga cha Arusha wakati anatunga!
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Habarini wana jamvi, Ninaomba mnisaidieni kwa yoyote anayefahamu sehemu ya kupata movie ya Vuta N'Kuvute au Tug of War anifahamishe au kama ana link anisaidie maana nimeitafuta sana lakini sijaipata.
1 Reactions
0 Replies
389 Views
RIWAYA: HATARI Imeandikwa na Halfani SUDY SIMU 0629 360357 Hii ni sehemu ya kwanza. MLANGO wa ofisi yake ulisukumwa kwa nguvu, kwa haraka, macho mawili ya Daniel Mwaseba yaliangalia pale...
3 Reactions
100 Replies
31K Views
Naona kitambaa cha kaptein England kina logo ya Love, kumbukumbu zinaniambia kama hapo mwanzo walikataliwa au kumbukumbu zangu haziko sawa.
0 Reactions
2 Replies
361 Views
Nitajie ngoma ambazo/ambayo ni ya Marehemu Albert Mangwair, au Awe ameshirikishwa. Na kwenye hiyo ngoma amefunikwa na huyu msanii mwingine. Ni ngoma gani hiyo? Ulisikiliza halafu ukasema humu...
0 Reactions
1 Replies
480 Views
Nimetoa wimbo, naomba u subscribe na u like. Naomba support yako mwana JamiiForums mwenzangu
11 Reactions
25 Replies
1K Views
Wakale wenzangu tujikumbushe enzi za kusikiliza muziki wa kilingala, ambao pamoja na watu kutojua kinachoimbwa kutokana na watu kutojua lugha hiyo, bado ilikuwa ni burudani ya aina yake. Enzi...
1 Reactions
2 Replies
500 Views
STORI FUPI: MFALME MWENYE MBWA 10 WA KUUWA WATUMISHI WAKE WAKIFANYA KOSA. Aliishi mfalme mmoja aliyekua na mbwa 10. Mfalme muda wote alifikiri kila afanyacho yupo sahihi, Kama mtu yoyote...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
hivi hii nyimbo aliimbaga nani verse ya kwanza: Mara ya kwanza kukuona ilikuwa coco beach washkaji kulizia wakasema we m bichi wakanipa story zako kwamba uko form six shule moja maarufu hapa...
5 Reactions
109 Replies
27K Views
Wakuu kwema? Poleni na majukumu ya hapa na pale. Naomba tuzungumze kidogo. Moja kati ya ngoma ambayo tokea imetoka inasumbua sana ni KONTAWA FT NAY WA MITEGO. Ngoma inaitwa CHAMPIONS. Biti...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Ukiachana na ile michezo ya ku bet kwa wahindi na kampuni nyingine kwa njia za mitandao ambayo kwa sasa jamii kubwa ni kama imeelewa na kuondoa ile hali ya kuwa na matumaini makubwa ya kushinda na...
6 Reactions
5 Replies
1K Views
Sasa madhara ya betting kwenye mpira yanaanza kuonekana. Kila mtu alibet yanga kushinda. Betting company wakaona yanga ikishinda watakula hasara. Wakageuza kombe, kumbuka hao hao ndio wadhamini wa...
0 Reactions
13 Replies
977 Views
Mtunzi: Muddyb Mwanaharakati Imetolewa: Mei, 2020 Mawasiliano: 0713538427 MOJA MIADI! Miadi ikisogea moyo huhakaika, kwa kasi na haraka huwa kama kidonda kinachopwita, pwi-pwi, pwi! Kufanya hivyo...
5 Reactions
48 Replies
9K Views
Inasemekana nguli wa muziki wa Rhumba Francois Lwambo Makiadi aliachia zaidi ya nyimbo 1000 akishirikiana na bend Yake ya Tout Puisant Ochestra Kinshasha ( T.P.O.K). Kusema ukweli wengi wengi...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Baada ya kusikiliza Singeli, Taarabu na Vijembe kwa miaka takriban Sita hii RnB niliyoanza kuisikia sasa ni njema na good for a change.... Sijajua kama ni kweli RnB ni bora kuliko zile kelele...
1 Reactions
6 Replies
808 Views
Poulenc is one of my favorite post-Ravel composers. His concertos, chamber music (especially the violin and the clarinet sonatas), opera, sacred music and melodies (Les chemins d'amour anyone ? )...
0 Reactions
1 Replies
705 Views
Is it the bodyguards around you? Is it the high walls where you live? Or is it the men with the gun around you Twenty four hours a day That make you ignore the crying of the people? Farmers get...
1 Reactions
0 Replies
331 Views
𝗧𝗛𝗘 𝗠𝗢𝗗𝗘𝗥𝗡 𝗪𝗔𝗥 (𝗩𝗶𝘁𝗮 𝘆𝗮 𝗸𝗶𝘀𝗮𝘀𝗮) 𝗠𝘁𝘂𝗻𝘇𝗶:𝘀𝗮𝘂𝗹 𝗱𝗮𝘃𝗶𝗱 𝗪𝗵𝗮𝘁𝘀𝗮𝗽: 0756862047 𝗨𝗧𝗔𝗡𝗚𝗨𝗟𝗜𝗭𝗜... "Mwanzo ilikuwa ni vita rahisi sana, vita dhidi ya ndugu yangu wa damu aliyeenda kinyume na kanuni za maisha...
1 Reactions
68 Replies
27K Views
Shaloom wakuu, Tasnia ya muziki wa injili kwa vikundi vya kwaya hapa Tanzania ni tasnia kongwe na iliyotawala zaidi kwenye chati za nyimbo za dini ya Kikristo mpaka ilipofikia miaka ya 2000's...
32 Reactions
146 Replies
33K Views
"Hakuna njia nzuri na rahisi ya kushoot scene za namna hii. Ila lengo kuu ni kuhakikisha wahusika wameridhika na wako comfortable na tukio. Tunawapa actors uchaguzi wa kuachana na kuondoka kama...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom