HEKALU LA WACHAWI sehemu ya 02.
Inaendelea...Kuanzia kipindi hicho nilibaki mkiwa mimi Pamoja na mdogo wangu mmoja wa pekee wa kiume aliyeitwa James. Baadae kidogo baada ya matanga ya baba yetu...
HEKALU LA WACHAWI sehemu ya 01.
Mwandishi,, @NijoSenso
Katika dunia Kuna mambo mengi sana yaliyojificha kuliko yanayoonekana. Mwenyezi MUNGU mwenye uwezo aliumba viumbe wengi sana wanaoonekana...
Mwimbaji Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ amefunguka mengi kuhusu baba yake mzazi anayefahamika kwa jina la Mzee Omary Nyembo baada ya baadhi ya mashabiki zake kumbebesha lawama kuwa hamjali mzee wake...
Anak, viumbe kutoka nibiru waliokuja duniani na kukutana na dunia iliyokuwa imejaa sokwe weupe na weusi, na jitihada zao katika kuunganishi genie zao na za viumbe ilivyovikuta duniani ili...
Nyimbo za kisukuma zimekuwa zikipigwa sana maeneo mbalimbali na kona zote za nchi, na kwenye maharusi, kumbi za starehe na kwenye ndoa za watu wote nchini.
Huu uzi utakuletea majina ya wasanii...
Mara nyingi nimekuwa nikimsikia akishirikishwa na baadhi ya wasanii, swali kubwa nikawa najiuliza huyu msanii ana kipi hasa spesho?
Katika pitapita zangu mitandaoni nikakuta wadada wanajirekodi...
Huu ni Kwa Mujibu wa Watu wa Industry Ya Music
- Impacts, album ya Prof Jay na Afande Sele ukiachana kuwa na mawe mazito pia zilileta ushawishi mkubwa kwenye Bongo Flava.
Kwa miaka hiyo Dansi...
MKUFU WA SHANI (2)
IMETUNGWA NA BEKA MFAUME
[The Greatest]
ILIPOISHIA
Kabla hajateremka kutoka kwenye gari ambalo tayari lilishaegeshwa kwenye maegesho ya nyumbani na mume wake aliyekuwa...
Yaani ziwe katika mfumo wa Tamthilia ama Filamu.
Weka hapo chini_ Kisha sisi (KS Entertainment kwa kushirikiana na muandaaji wa hiyo simulizi tutafanya Jambo kwaajili yenu).
Ni swali ambalo mara nyingi naulizwa sana na watu wanaogiza au wenye matamanio ya kuigiza. Jibu langu huwa ni ndefu na linaloshirikisha sekta nyingi sana za filamu. Secta zenyewe ni kama...
Habari member wa JamiiForums ningependa kuwaleteeni Riwaya ya ndugu mwandishi Kelvin kagambo ili tuelimike na kubuludika pamoja.
========
RIWAYA: MWANAMKE KAMA MAMA YANGU
MTUNZI: KELVIN DONATUS...
Idon't wanna wait in vain for your love
I don't wanna wait in vain for your love
From the very first time I placed my eyes on you, girl
My heart says follow through
But I know, now, that I'm way...
Poleni na majukumu wakuu,
Niende kwenye mada. Kwa wale ambao washaangalia filamu flani za Kimarekani zinaitwa THE PURGE nadhani wanaelewa nini kilikuwa kinafanyika mule, kwa wale ambao hawajawahi...
Waziri Mkuu wa Uganda ametengua Uamuzi wa Bunge la Uganda kusitisha Tamasha la Nyege Nyege Uganda, Jinja.
Waziri Mkuu Rabina Nabbaya ameruhusu Tamasha hilo lifanyike -Sababu moja kuu ni kuwa...
Unazikumbuka izi movie za Kinigeria?
1. KARISHIKA
2. SAKOB (snake girl)
3. A CRY FOR HELP
4. EMEMBER
5. BLOOD SISTER
6. MY LOVE
7. IGODO
8. END OF WICKED
9. THE PRICE
10.BILLIONARES CLUB
Na...
TITLE:ONLY ONE KING
MTUNZI:JOTO LA MOTO
SEHEMU YA KWANZA
NJE.IKULU YA MFALME MKUU-MCHANA
Jengo kubwa jeupe, ndani ya uzio wa ukuta na nyaya za senyenge nzito juu.
Kwenye eneo la kilomita za...
UTAMU WA MJAMZITO.
Sehemu ya kwanza
WhatsApp 0629980412.
Dokta hamza hakuamini macho yake, aliyafikicha kwa mikono yake na kutazama tena. Alichokiona mwanzo ndicho alichokiona tena. “...
EDIT2:
KWA UFUPI: Pale mjini palikuwa na binti maarufu kwa ununda. Waoaji wote walikuwa wakimkwepa, wakitaka kumposa mdogo-mtu aliyesifika kwa tabia njema. Hadithi hii ni simulizi la 'baharia'...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.