Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Wakuu samahani kidogo na poleni na majukumu, Hivi hii ngoma ya Wakali kwanza, inaitwa NATAMANI, ndani kuna Makamua, Qj na Joselin. Ni nyimbo ambayo ilitoka mwaka gani? Na kuna tuzo ilichukua...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Yaani nikiwa naitazama ifike hatua mpaka nitoe machozi ni movie gani inaweza nitoa machozi.
4 Reactions
107 Replies
9K Views
STORY: JINI ZUNAIDA MTUNZI: HAFIDHU MWINYIMKUU CONTACT: 0719013038 WHATSAPP: 0719013038 MAHALI: DARES SALAAM SEHEMU YA KWANZA Story yetu inaanza katika falme ya majini iliyofahamika kwa jina la...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Habari wakuu Nimebahatika kuangalia series za kikorea zifuatazo; Athena, Iris, City hunter, Jumong, The land of wind, Emperor of the sea, The Chaser, The painter. Kama kuna mtu anafahamu series...
0 Reactions
71 Replies
37K Views
Rais huyo Mstaafu amefanikiwa kunyakua tuzo hiyo kupitia filamu ya 'Our Great National Parks', Makala inayohusu hifadhi za Taifa iliyotolewa na Emmy, filamu hiyo inaoneshwa na Netflix. Obama...
3 Reactions
5 Replies
995 Views
Rapa Kanye West amefichua jinsi uraibu wake wa ponografia ulivyoharibu familia yake. Bilionea huyo amethibitsha hilo kupitia ukurasa wake wa Instagram Chapisho hilo linasemekana kumrejelea mama...
1 Reactions
5 Replies
827 Views
Beyoncé, ambaye alizaliwa mnamo Septemba 4, 1981, alipata umaarufu akiwa member wa Destiny's Child (hapo awali kilijulikana kama Girl's Tyme), moja ya bendi kubwa zaidi za wasichana katika...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna video hii nimekutana nao sehemu kuhusu ya Wenge Musica Tout Terrain 4 x 4. Vijana wenye watanashati na Mitindo ya kisasa (Bon Chic Bon Genre). Video hii inaongea mengi sana. Jinsi gani watu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Poleni kwa majukumu wakuu wangu, ninahitaji msaada wa kuunganishwa na wasanii wa aina zote. Lengo kuu ni kujaribu kuona kama tunaweza kufanya kazi pamoja. Mimi ni kijana ninayepambana na maisha...
4 Reactions
13 Replies
689 Views
Wakuu ninaomba mtu yeyote anayeujua huu wimbo wa reggae au jina la mwanamuziki aliyeuimba tafadhali,
1 Reactions
8 Replies
649 Views
Jarida la Forbes limetoa orodha ya wasanii 20 bora kutoka bara la Afrika. Kwa mujibu wa jarida hilo, wasanii wa Afrika Magharibi na Kusini mwa Afrika wanaongoza katika orodha ya wasanii wakubwa...
2 Reactions
9 Replies
22K Views
T.B.T 1.Ngwair ft Jay Mo--Kimafia. 2.Speed 120 ft Chid Benz 3.Cnn ft Fid Q 4.Mapenzi Gani ft Lady Jaydee 5.Mida mibovu ft J.nature,Jay Mo,Ferooz. 6.Wa Kitaa ft Babu wa kitaa 7.Bila...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Baada ya kutengeneza list ya nyimbo 10 bora za muziki wa kizazi kipya leo tujadili album 10 bora katika historia ya muziki wa kizazi kipya, list hii haitaangalia nyimbo moja tu ya kwenye album...
5 Reactions
86 Replies
33K Views
habari wadau wote wenye changamoto za kimaisha.. Vijana wengi kitaani tunapitia hali ngumu.. hii imenifanya niimbe wimbo wa kutuliwaza nimelimiss Bumu.. naombeni maoni yenu wapi nimekosea na...
4 Reactions
24 Replies
4K Views
"Bad thing we are sleep" And "Good thing we can wake up" and change the whole system. We are not doing anything while our whole life is full of inequalities everywhere within our country as...
0 Reactions
0 Replies
326 Views
Season 1 The Football Mtunzi.Patrick Ck Sehemu 1 Msafara wa rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania,uliwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.Dr...
19 Reactions
128 Replies
43K Views
Ngoma gani ilikufanya useme Michael Jackson ni moja kati Msanii bora kuwahi kutokea. Mimi---Thriller🙌🙌🙌 Vipi kuhusu ww mdau. #forgive Me
6 Reactions
37 Replies
4K Views
SEHEMU YA 01 Nilikuwa kwenye usingizi mzito mno ambapo nikaamshwa na sauti ya mwanaume aliyekuwa anagonga dirisha langu na kuniita. "Ederra! Ederra!" Bado sikujua alikuwa nani. Alijaribu kuita...
2 Reactions
7 Replies
4K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mimi Annunaki naomba mtu yeyote ambaye anajua ninawezaje kupata hii movie ikiwa HD anielekeze niweze kuipata haraka iwezekanavyo.
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Tafadhali naomba ukiwa kama mwana Wenge BCBG yake JB Mpiana uniambie ni kwanini Nyimbo hizi Nne zifuatazo haziishi Utamu na wala hazichuji miaka nenda rudi? 1. Champion Kapangala ( Sebene ) 2...
6 Reactions
139 Replies
14K Views
Back
Top Bottom