Habari wana JF
Kuna nyimbo fulani nimesahau jina na mwanamziki pia. Ni ya zamani ila sio sana nakumbuka baadhi ya maneno, nitayaandika hapa chini
Maneno nitakayoandika ameimba mwanaume (mbaba...
Mimi naitwa Telo nilizaliwa huko Kigoma, Kasulu maeneo ya kumsenga miaka 60 iliopita. Elimu yangu ni ya darasa la nne, ijapokuwa kiuhalisia elimu ilinipiga sandakalawe.
Maisha huko Kasulu...
Karibu kwenye uzi huu maalumu kabisa. Hapa utapata fursa ya kujifunza vitu mbalimbali vitakavyo kusaidia kukua kiufahamu: kiroho, kiakili, kiuchumi, kimahusiano nk. Ili uwe mtu wa mguso na matokeo...
kitabu hiki kiliandikwa mwaka 1907 na JH Patterson kikiitwa The man-eaters of Tsavo. kilitafsiriwa kwa kiswahili miaka ya 1960's kikiitwa Simba wa Tsavo. Unaweza kukisoma bure ndani ya Maktaba...
Kwa wale wenzangu na mimi wanaopenda mziki wenye vionjo vya mziki wa old school ila umetengenezwa kisasa
Kwa huyu msanii ndo mahala pake ana nyimbo zaidi ya 200.
Ila wa kwangu bora wa muda wowote...
Heshima kwenu wakuu.
Aisee nimejaribu kuitafuta sana hii movie, naipata lakini nashangaa nikii-download inagoma kabisa, sasa kwa mwenye direct link ambayo nitaweza kui-download kwa urahisi naomba...
MISS TANZANIA
SEHEMU YA KWANZA
MTUNZI: PATRICK .C.K
==========
Haki zote zimehifadhiwa hairuhusiwi kunakili, kuchapa maandiko ya kitabu hiki bila idhini ya wahusika wakuu.
“Patrick amka...
Bila upevu wa fikra kung’amua hii homa ni ndoto
Madaktari, waganga wote chamtoto
Bado wanaitafuta pimajoto, kwani dunia ina homa kali mithili ya moto
Wanasayansi wamelala maabara, Wanaitafuta tiba...
Kama ningekuwa Rais, nchi ingekuwa katika hali bora zaidi.
Una uhakika? Thibitisha!
Mchezo wa "Simulator ya Rais" hukuruhusu kutawala mojawapo ya nchi 163 za kisasa. Siasa, vyombo vya habari...
Lyrics Master ameshindwa kuthibitisha umasta wake kwenye lyrics. Juzi kati nilimpa mtihani kama usahili akasema atarudi na mistari. Leo wiki ya pili amekimbia Jukwaani.
Nilijua nitamnasa tu...
Kuna wachekeshaji wengi wanaibuka na wanaendelea kuibuka...lakini kuna wale ambao dunia inawatambua...kuwa hawa ndio wachekeshaji waliofanya comedy/funny iwe hivi ilivyo leo...je ukiambiwa utaje...
Natafuta Nani kaiimba haya mashairi ni nyimbo ya bongo Flava ya zamani
Najua unapenda sauti yangu
Najua unapenda mashairi yangu Ila mbona unaponda kuhusu kipaji changu
Namtafuta
Kwetu Tanzania tunazo Zilipendwa za akina Les Wanyika na Wengine wengi, lakini hao wote bado ni wa juzi tu
Marekan wanayo "Country Music" hii ni ya kitambo zaidi.
Ni tamu
Ina maadili pia
Ina...
Nilikua naangalia Tbc aridhio kuna kijana jina limenitoka kutoka kigoma amenivutia mno kwa vitu anavyovifanya pamoja na mazingira anayoishi ikiwa ni pamoja na nyumba haina umeme lakini ameweza...
Habari yako, mimi ni kijana wa miaka 20s ni mhitimu wa chuo 2020(Bachelor Degree in Tax Management).
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu, kwa kipindi kirefu sasa nimekuwa napokea maoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.