Huu ndio mziki bora niliusikiliza kwenye utawala wa Kikwete JPM na hata sasa.
Muziki unagusa uhalisia wa maisha ya watanzania wengi...
Ndo mana nasema ndio mziki Bora wa kipindi chote...
SIMULIZI YA MAISHA: KWANINI MIMI? 01
MWANDISHI : MIKA AUTHOR
MSAMBAZAJI: Simulizi za Gilbert
MAWASILIANO: +255621249611
Kuna kitu kisichokuwa cha kawaida kilikuwa kwenye maisha yao.Maisha yao...
American Top 40 [January 22, 2022]
LW TW Artist-Title Peak So Far Weeks at #1 Weeks On
40 40 Duncan Laurence - Arcade 07 38
38 39 Marshmello/Jonas Brothers - Leave Before You Love Me 08 31
37 38...
Consider and listen to their powerful hits such as Dada Lemi, Rangi ya Chungwa, and their numerous others that praised the beauty of love and an African woman; I am very disappointed to see...
Kuna wimbo nimeusikia umetengenezwa na man walter,niaoh za kichinachina
Mswaki wa kichina,mafuta,sabuni,pafyumu,tv,viatu vyote vya kichinachina hujntaoo
Huu utakuwa ufafanuzi rahisi was kitu ama Muda.
Je inawezekana kwenda miaka ya mbele ama kurudi nyuma kwa akina Yesu na Yuda Eskaroti?
Sasa hapa utapata ufafanuzi wa time travel.
Ipo ama haipo...
Wadau habari za leo, naomba mwenye link au nyimbo za band ya Diamond Sound ' wana ikibinda nkoi' anisaidie either kwa kunitumia whatsapp 0712 000 464, email abrahamashiraf@gmail.com or aweke link...
Miaka ya 2005 mpaka 2013 redio ambayo nilikuwa navutiwa nayo ilikuwa ni Radio Free Africa, nilivutiwa sana na Watangazaji wazuri waliokuwa na weredi mkubwa moja vipindi hivyo Ni pamoja na ASUBUHI...
Kikundi hiki kina miaka mingi sana katika sanaa. Mpaka leo mwanaume hajawahi vaa magauni au nguo za ajabu ajabu.
Wamekua katika mazingira halisi kabisa na bado kazi zao hazichoshi kutazama...
Habari za wakati huu wana jamvi!!! Ni siku tulivu kabisa ya mapumziko!! Leo nilikua nasikiliza kibao nnachokipenda zaidi kutoka kwa Mwanamuziki nnayemkubali sana katika Bara hili. Binafsi kibao...
Ah
Nilipanda kwenye jukwaa, watu walinishangaa
Unadhifu wa meli haukufanana na nilivyovaa
Kabla sijatoa salamu, walipoteza hamu
Ya kuburudika wengine wakaanza kusambaa
Nilikuwa na nywele nyingi...
ISHI HUMO...
Focus kwenye jambo unalolipenda zaidi kuliko lile unalolijua!!?...
Unaweza kuwa na maswali mengi sana juu ya kauli iliyotajwa hapo juu. Usiwe na shaka kwani majibu ya maswali yako...
Kampuni ya kuonyesha Filamu ya Netflix imetajwa kwa awamu ya pili kuachisha kazi takriban wafanyakazi 300 kama namna ya kudhibiti gharama za uendeshaji. Mnamo mwezi Mei kampuni hiyo ilipunguza...
Rais wa awamu ya tatu Hayati Benjamini Willliam Mkapa aliwahi kusema, ukitaka kumficha mtanzania kitu chochote mfiche kwa njia ya maandishi. Sisi binafsi tunaungana na kauli hii kwa asilimia 100...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.