Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Nisiwe na maneno mengi hebu usikilize afu utoe maksi zako
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Haki zote zimehifadhiwa Ni marufuku kucopy, kunakili, kuhariri wala kutumia sehemu ya kisa hiki popote bila ridhaa ya mwandishi. Tabaruku kwa "kila anayeamini siku mpya ni Zawadi. Shukrani...
0 Reactions
0 Replies
546 Views
Mi siyo mpenzi wa Hip hop lakini kwa bahati jana nimemsikia Dizasta Vina. Leo nipo spotfy naunganisha ngoma zake tu. Jamaa anajua sana. Anajua kuandika. Inaonekana anafeel kabisa...
7 Reactions
23 Replies
4K Views
Muasisi wa kipindi hiki huko radio free afrika,alikipangilia vizuri kiasi kwamba sisi wahenga ikifika alhamis tulikuwa hatulali mpaka saa7 usiku. Zilizopendwa za kibongo zilipigwa toka saa4 mpaka...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
kuna promoter wa muziki ana mtafuta please anae jua details zake afunguke hapa. anyways: huyu kwenye hii video sio bi zuhura shaabani, huyu anaitwa bi samra alifanya cover ya...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Ukiachilia mbali Chuga tulivyobamba! Naomba msaada haka kawimbo ili week yangu nianze vizuri.
0 Reactions
0 Replies
377 Views
Hawa jamaa ni amsha, ni kwere, ubunifu wa Hali ya juu, sifurahii camera wanayotumia Ila action zao ni za kiwango cha standard gauge. Kitu Kingine kizuri kwao, ni kuwa hawatumii sauti , na hii...
11 Reactions
29 Replies
2K Views
Mwana labda vipindi kama ICU\ SHILAWADU unaweza mchukilia poa Kwissa(kamanda mzee mkavu) kuwa si lolote ni mbea tu wa mjini Ila ukweli utabaki kuwa jamaa ni mwanzilishi wa vipindi vingi vikubwa...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu ndio nimeanza kuuza movie online natoa ofa mpak mwezi wa saba nitakua natuma movie bure kabisa iwe imetafsiriwa au haijatafsiriwa link nakutumia pm nikiweka hapa mods wanafuta uzi wangu...
7 Reactions
52 Replies
4K Views
Kuna tamthilia 2 ivi huwa nazikubali sana isivyo bahati siku pataga wasaa wa kuzimalizia na kuzifuatilia coz nilikuwa na muda finyuu sanaa alafu ilikuwa ni kitambo sanaa Sasa ivi i wiah nizione...
0 Reactions
6 Replies
457 Views
Nyota wa Sinema za Bongo, mjasiriamali na mwanamitindo anayepanda kwa kasi nchini, Jacqueline Wolper 'amevunja kibubu' kwa kumnunulia baba wa mtoto wake, Richi Mitindo zawadi ya cheni mbili, pete...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Assalaam alaykum, Unaweza kupakua hiyo pdf ili iwe hidaya kwangu na kwako. Wabillahi tawfiq
2 Reactions
2 Replies
557 Views
"1001 Movies You Must See Before You Die" 1. A Trip to the Moon (1902) 2. The Great Train Robbery (1903) 3. The Birth of a Nation (1915) 4. Les Vampires (1915) 5. Intolerance...
4 Reactions
17 Replies
5K Views
RIWAYA: Fedha Au Risasi MTUNZI: Emmanuel Phiri NAMBA: 0758 195 890 SEHEMU YA 01 Aliamshwa toka usingizini kwa teke kali la mbavuni, akakagumia kwa maumivu makali yaliyosambaa mwili mzima kama...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
What Woman Sir? This is one Here is a Whore. Kwa wapenzi wa The Boondocks mnatukuwa mnaelewa na ku enjoy hii scene ya Slickback oops 'the pimp named slickback". Huyu jamaa alinifurahisha sana...
8 Reactions
82 Replies
7K Views
PM nimepokea maombi Kama 300 watu wakitaka link ya wimbo mpya wa taifa. Ndo HUYO HUYO by Sir Jay, enjoy.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hawa wote Wana asili ya uzungu uzungu, Kila mmoja alitengeneza hits nyingi, Ila pfunk alikuwa akisaidiwa na bizman kwa Sana , Sasa he Nani Alikuwa Mkali zaidi, nimesahau track nyingine lakini hizi...
9 Reactions
114 Replies
14K Views
Habari wadau !! Leo tuingalie kibao cha mkali wa miondoko ya zouk afrika; Oliver N’Goma. Nyimbo: Barre Maana: Hapana/ Imetosha / Strongly No. Kutoka: 1995 Album: Adia Lugha: Lumbu ( Gabon)...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu habari, nauliza kwa yeyote anaejua ile Jingo inayopigwa kila jpili kwenye kipindi cha Asian flava cha Radio Free Africa ni ya wimbo gani wa kihindi. Nikipata na jina la msanii na muvi...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Sehemu ya 01. Nataka nicheze mpira, niwe na mafanikio makubwa, kama yule aliyekuwa anachezea Brazil ambaye uliniambia sana kuhusu yeye!” alisikika kijana mmoja akimwambia mwanaume aliyekuwa...
6 Reactions
98 Replies
18K Views
Back
Top Bottom