Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
CHORUS: hii ni kwa wote mademu watafutaji, hii ni kwa wote mademu watafutaji, zidisha nguvu kwenye kazi, watafutaji, sasa nasema nao nyie, watafutaji, zidisha nguvu kwenye kazi, watafutaji. sasa...
0 Reactions
3 Replies
816 Views
Anaejua jina lake na msanii aliyeimba aniambie unaitwaje?! Maana nimehangaika sana bila mafanikio
1 Reactions
0 Replies
400 Views
Wema wa BWANA na fadhili zake zinanitosha, Kukaa nyumbani mwake MUNGU wangu, siku zote za Maisha yangu! Siangalii wanadamu, Namuangalia MUNGU wangu peke yake! Aweza kunitoa kwenye shida, na...
1 Reactions
7 Replies
9K Views
Nyie kuna huu wimbo unaitwa NENDA wa msanii mmoja anaitwa STRONG DADY huyu msanii ni Upcoming ila balaa lake sio dogo jamani. Mimi nimeguswa sana na huu wimbo wa huyu msanii STRONG DADY wimbo...
1 Reactions
1 Replies
745 Views
PENZI LA PENINA Chapter 1 Oh lameck tulia bas tusifanyie hapa.... Unaona sasa wanatukuta watu... Usifanye hivo basi mpenzi...... Haya weka basi mara moja oh nilishutuka toka ndotoni.. Ilikuwa ni...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
IMESIMULIWA NA DOKTA MUNGWA KABILI SIMU : 0744 - 000 473 . MISUKULE WA NGUVU ZA KIUME Msukule ni nini ? Msukule ni mtu au sehemu ya mtu iliyo chukuliwa na...
0 Reactions
22 Replies
16K Views
Angalia utoe marks kwa director wa hii ngoma Dark horse-Katy Perry feat Juicy J, Una views 3,279,761,229
1 Reactions
2 Replies
471 Views
VERSE 01; kimo cha hekima za ndugu sasa ni dhaifu, imani zao chache na wamekosa uaminifu, wako radhi kuua ndugu na kumdhulumu mkufu, au kama si kumuua basi watamuacha na upofu, wakati tafsiri wa...
11 Reactions
18 Replies
3K Views
Watoto wa mjini Dar waliamshwa na magoma hayo. Kama ukucheza hayo na umri wako wa Sasa ni 40-50 elewa wewe sio wa mjini. Sitaki kusema majina ya watu wenye majina yao maana leo wapo kivingine...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Kuna hizi music streaming platforms kama spotify nk. Mfano hawa spotify wanacharge 6,000 kwa mwezi. Unaweza lipia kustream music?
0 Reactions
4 Replies
384 Views
Kuna tuhuma imesambaa sana kwenye mitandao ya kijamii kuwa azam tv kupitia kipindi chao cha Toonami walirusha katuni yenye maudhui ya hovyo. Azam TV wametoa utetezi kuwa sio ukweli, na ni...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Baada ya kuwa kimya kwenye sekta hii ya uandishi leo naangusha wino wangu kuwapa simulizi. Huku nikiwa na machungu ya kifo cha muandishi wa zamani wa masimulizi ya kurudi kwa James akeke basi...
0 Reactions
0 Replies
636 Views
Hiki kipindi kinafurahisha na kuburudisha. Kinachonifuarahisha ni namna wadada wanavyochagua wanaume kwa sifa za kipuuzi kama Urefu, mara rangi ya ngozi na kadhalika. Wadada wanataja sifa fulani...
0 Reactions
1 Replies
936 Views
Habari wakuu.. Hapa bongo kumeibuka kitu kinachoitwa EP ,mpaka Sasa naona neno album limeshaanza kupoteana kabisa kwenye tasnia ya mziki ,kila msanii anajificha kwenye EP ,mara EP ya nyimbo...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Kwa kiasi kikubwa kwenye mechi za hivi karibuni Djigui Diarra ameanza kutoa ushuhuda wa sifa alizopewa wakati wa usajili wake. Screen protector, mdaka mishale, mdaka mabomu na na sifa zote niliona...
1 Reactions
1 Replies
429 Views
Hii series nzuri sana, inaelezea changamoto za kuanzisha biashara na kujaribu kubadili maisha, kupata investors nk
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Ukitoa hii UTOPOLO (Dream Winners) game gani zuri la mpira (offline) ambalo nikiwa nacheza linatangazwa....
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Kama nilivyoahidi siku za nyuma, hatimaye naomba nilete kwenu maelezo yaihusuyo iliyokuwa Wenge Musica 4X4 Tout Terrain BCBG.Kiufupi Bendi hii ndiyo ilini-inspire kuupenda muziki wa kongo lakini...
15 Reactions
56 Replies
24K Views
Back
Top Bottom