Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Wanaume tumeumbiwa huu ulimwengu. Movement na maisha ya sasa yamefanya wanaume kuonekana watu wa chini sana. Wanaume tusimame. Lakini najua hatuhitaji nguvu au movement kama za wenzetu ili...
8 Reactions
63 Replies
8K Views
Trailer no. 1 imetoka leo. Hatimaye baada ya miaka 13 ya uvumilivu kitu kitarudi tena kwenye big screen mwaka huu. Lakini itaweza kukata kiu yetu na kufanya vizuri sokoni kama ilivyo fanikiwa...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
kuna kampuni nyingi lakini zile maarufu zaidi zinazopendwa na zinazotoa filamu kali kama hizi [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] [emoji117]PARAMOUNT PICTURES...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Just the other day, the other day I was talking to the weather man About today oh oh oh And all, all he could say Was no one knows tomorrow See I can read the weather child I can say maybe the...
0 Reactions
0 Replies
352 Views
Weka bando...chagua mzigo unaoutaka then ushushe.... Ukitaka kunipa ya vocha unakaribishwa pia...ili niendelee kuwatafutia vitu vitamu zaidi.... http://103.222.20.150/ftpdata/Movies/Hollywood/2022/
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Bila shaka umeshawahi kusikia mstari fulani kwenye wimbo fulani wa miondoko ya Hip hop ambao ukiutafakari unakua hauna maana au hauusiani kabisa na maudhui ya wimbo husika. Mimi nimewahi kukutana...
20 Reactions
258 Replies
55K Views
Hello, Naomba tusaidiane kujuzana ni miziki gani ya kibongo mizuri imetoka kwa kipindi hiki kuanzia Januari had Mei. Nikipata hata 30 itakuwa vizuri. NB: Sihitaji nyimbo za Dini with all due...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Song Lyric: at Angalia Video na Lyrics hapa Muziki and Lyrics Mi amor Te amo Ohh baby mon amor Hakuna mwingine wa kumsikia Kwenye masikio yangu Hakuna mwingine wakumuona Kwenye macho yangu...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Aisee kama kuna aina ya maisha unayapitia utasema hawa jamaa wamekuimbia wewe.
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Kiukweli wamepita wasanii wengi Tanzania wenye weredi na ubunifu mkubwa walitunga tungo zenye kubamba haswaa ila katika kizazi hichi tulicho sasa wapo wengi wanafanya vizuri Ila huyu mmakonde...
14 Reactions
32 Replies
3K Views
Episode 1. Bado naikumbuka siku ya kwanza kufika India,, Moyo wangu ulikuwa na hofu na wasiwasi na huko niendako. Naikumbuka siku niliyoishiwa pesa za matumizi na kunifanya niwe street boy...
7 Reactions
102 Replies
10K Views
Girl let me show you How much I love you With my lips on your own Let my hips do the talking Let me show you How much I care for you You can relax let me work it I'll go down on you and take you...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wakuu, Sichelei kusema kwamba ,hiyo Royal tour tumepigwa na kitu kizito kichwani, Nimeitazama Royal tour, Je, Ile ni Royal tour au SSH DOCUMENTARY? Naona Kama inaonesha maisha binafsi ya...
2 Reactions
5 Replies
894 Views
Hivi kwenye Bongo movie kwasasa wewe una mkubali Nani kati Isarito Na pitchen
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Miaka miwili iliyopita andiko hili " LEO TUKO HAPA , KIINGILIO 5000/- " lilikuwa andiko maarufu mno , hasa maeneo ya Kinondoni , Temeke kata ya 14 na Chang'ombe jijini D' Salaam. Andiko hili...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Jaman hii k2 n kwel kumbe
0 Reactions
2 Replies
756 Views
Kusema ukweli hili ni jipya sana kwangu kuona Rais anacheza sinema na raia wa nchi nyingine. Nilitarajia kuona sinema imechezwa na Watanzania tu, na kuongozwa na Watanzania, na si vinginevyo...
0 Reactions
5 Replies
541 Views
Habari za Jumapili wana jukwaa wenzangu? Samahani kwa usumbufu, leo katika pitapita zangu huko mitandaoni nikajikuta nikesikiliza nyimbo mbili ya huyu jamaa naayejiita JAY Z a.k.a Jigger. Kuna...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Shindano la urembo la Miss Rwanda limesitishwa baada ya mwandaaji wake Dieudonné Ishimwe kukamatwa mwishoni mwa mwezi Aprili kwa tuhuma za unyanyasaji wa kingono. - Ishimwe, 36, mwanamuziki wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom