MTUNZI: KULWA MWAIBALE
MWANZO
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 25 ambaye ni yatima niliyezaliwa peke yangu kwa wazazi wangu ambao sikubahatika kuwaona, kwa sasa naishi jijini Dar es...
Yaani ni hivyo tu jamani, hakuna kitu kinakera (hata kama huziangalii) kama hizi filamu za bongo. Nahisi kabisa kuwa wanatuaibisha hata nje ya nchi (kwa mataifa jirani wanao angalia kazi zao)...
Maneno yake ya Ubeti wa Kwanza kutoka Kwake Msaga Sumu.
" Nina hamu ya Nyumba ya Kupanga "
Kisha Mwanamke aliyemshirikisha anamjbu Msaga Sumu.
" Nyumba yangu ina Vyumba viwili tu je, unataka...
Yeyote mwenye nyimbo original za cosmas chidumule za "libarikiwe neno hili" na "ya nini mizigo hiyo" naomba anisaidie whatsapp no 0717297545
Kwa upendo wa kristo.
Hata baadhi ya watu wakitaka kutunyamazisha basi mawe yataongea.
Wasanii wametoa wimbo wa Mbowe siyo Gaidi.
Wacha tuusikilize ndugu wazaleeendo wenzetu.
Introduction
Five decades of dramatic social change and monumental shifts in the traditional family have created a
breed of men who have been conditioned to seek the approval of others.
I call...
''Kuna watu inawezekana tumejuana kwa kutuona kwa mitandao humu na ndio maana wakati mwingine wanatutukana! Muungwana anapokea kila aina ya matusi na anamshtakia Mungu tu! Safari yetu wengine...
Jamani naomba mtu anayemkumbuka mwandishi wa riwaya ya kitambo kidogo inaitwa USHINDI WA MAHABA. Actually, niliisoma nikiwa darasa la kwanza nikaisoma tena form two na sasa natamani kuisoma tena...
Hii movie naweza irudia hata mara mbili ingawa unatakiwa uangalie the begining ndo uelewe final part
Yaan iko hivi jamaa anaitwa himura ni bwana mdogo tu lakini mwenye skills za juu kwenye...
Kama leo upo off home kwako na mpenzi wa movie na animation Either Action, Horror, Criminal and Sci-fi Hizi ni moja ya movie unaweza maliza nazo wikiendi yako
Sweet Baby 2021
Fatherhood 2021...
Mbona nyimbo zao hatuzioni Kwenye hizi tv zetu?
Je,
Hao wachina mziki wao wa asili Huimba kwa style gani?
Je, huimba kwa Kufoka foka Kama wanaHIPHOP?
Au kugani Kama kina mrisho mpoto?
Au...
Wasalam wanajukwaa
Ni hadithi, simulizi, riwaya au hata chombezo umewahi kuisoma humu JF ambayo unaona ndo bora kabisa kuwahi kuisoma katika maisha yako?
Ni ipi simulizi, riwaya au hadithi bora...
Kamwene wakuu. Wale wadau wa simulizi na riwaya napenda niwakaribishe kufuatilia riwaya hii ya kusisimua inayoitwa 'Mkono wa Chuma', mtunzi wake akiwa ni ALEX KILEO. Karibuni wote...
the Legend☆
Kusema ukweli mwamba amefikia hatua hata siku akiachia clip anapiga muayo usishangae ikaenda on Trending na ikawa hitsong sijui hitclip 🤠
Hii banger nadhani tageti yake kubwa ni Intaneshino na...
Nina furaha sana huwa nikimuona
Chid anachokifanya kwa sasa, Maana tunajua
vyema alipokua ametoka then akapata
changamoto na sasa kasimama upya, sio rahisi.
Kama unatembelea mitandao ya Chid...
Nazungumzia Hip Hop sio zile zisizoeleweka, huyu jamaa ni hatari sana, sikiliza nyimbo zake YouTube, just search Dizasta Vina halafu njoo useme neno.
Baadhi ya kazi zake;
1. Siku Mbaya [emoji117]...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.