Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Hivi kati ya huyu Wizkid anaejiita Star Boy na Davido nani mkali kwenye nyanja zote za Muziki kuanzia Afrika na nje ya Afrika, Nani zaidi Wizzy au Davido
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Leta DJs wote bongo, ila ikija kwenye mixxin za Amapiano hakuna kama DJ Baffy. Kifupi ndio DJ namba moja wa kutwanga amapiano. Dondosha amapiano yako uliyoielewa baada ya kuisikia kwa Dj Baffy.
4 Reactions
37 Replies
7K Views
"Every to hours America Today child dies of gunshot wound!? "Is scared they what family planning to work or behavior" Tuendelee kuchezea Label ya "tanzania mpya" na "tanzania ni nchi ya amani"
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Vile vianduje hakika wanafiti kila angle na mojawapo ni zile nyimbo zilizopo kwenye series zao hasa za love story. Naomba tuweke hapa nzuri ili nipate kuziweka kwa playlist yangu.
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Huwa nyimbo za Mayaula Moyoni zinanipa sana wakati mgumu, nikizisikia tu namkumbuka Marehemu Mama angu, alipenda mno nyimbo za Mayaula Moyoni kibao kama Ko Tika Te, ni kibao alicho kuwa anapenda...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Msanii Wizkidayo Ameweka Rekodi Ya Kuwa Msanii Muafrika Wa Kwanza Kufikisha Zaidi Ya Streams Milioni 300 Katika Mtandao Wa Kusikilizia Muziki Wa Audiomack, Audiomack Wameshare Taarifa Hiyo Katika...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Embu character gan unamkubali humu katika series ya See mimi binafsi namkubali tamactic jun (witchfinder ) na Baba Voss Hii ni moja ya series bora kabisa ila yule queen alipomwambia harlan...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Tutafute maisha tuwezavyo ila tusisahau kuishi ya duniani; maana mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa. Kule ni kuimba, kusifu na kumuabudu Mungu tuu😍📌 Weekeend murua🔥🔥🔥🔥🔥
11 Reactions
72 Replies
4K Views
Habari ya humu wanandungu natamani kuifata furaha yangu ilipo ki ukweli napenda sana michezo ya magari I mean rally na drifting pia sasaa naomba kupata hiyo company humu jf.
2 Reactions
5 Replies
444 Views
FACT!
2 Reactions
3 Replies
731 Views
Hivi ile nyimbo ya kikongo ipo slow hivii Huwa nasikia "Mai Mai Mai Mai , mai Mai Mai , dangai Mai mai" wajuvi washaijua hivi kaimba nani na inaitwaje tafadhali.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
KOSA LANGU - 01 Ilikua asubuhi nzuri sana iliyojaa uchangamfu wa aina yake. Hali ya hewa ilikua rafiki kwa kila mtu, mawingu mazito yalitanda anga zima la jiji la Dar es salaam na kulimeza jua...
4 Reactions
56 Replies
13K Views
Wana msemo wao wanasema "eyes wide shut"; ni "wide" (wazi) lakini hapohapo "shut" (yamefungwa) Yaani wanadai tuko "macho kodo lakini hatuoni" Na ndio maana wanatuita "sheeple" au kondoo; na pia...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
SIMULIZI FUPI - CHOZI LA FURAHA Nilishuka garini nikiwa na furaha,hii baada ya kutoka likizo baada ya miezi sita ya kukaa chuoni.Mtu wa kwanza kumuoana alikuwa ni mama yangu ambaye alikuwa...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Subalkheri ndugu zangu, Naomba yeyote mwenye wimbo wa gwiji Frank Humplink (1927 - 2007) anisaidie. Lengo la kutafuta wimbo wake ni kuutumia kufundisha darasani mchango wake wakati wa kupigania...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Hapa Makambako mi mgeni Ebu nipeni location za viwanja vikali # viwanja matata #viwanja vilivyo changamka # viwanja vya pombe #viwanja vyenye misosi na choma Sehemu fulani amazing
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mganga wa jadi nchini Ghana ameibuka na kudai kwamba yeye ndio alisababisha mchezaji wa zamani wa Chelseafc, @MichaelEssien kushuka kiwango. Mganga huyo wakati anafanya interview na mtangazaji...
0 Reactions
2 Replies
703 Views
Orodha Ya Album Za Bongo fleva Zilizosikilizwa Zaidi Katika Mtandao Wa Kusikilizia Muziki Wa Spotify. 1. #ABoyFromTandale -Diamond Platnumz Streams 30.4M 2. #SoundFromAfrica -Rayvanny Streams...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Mondi kama Mondi, Hakuna kipya humu just same Mondi akiendeleza kazi yake ya Muziki. Kusema ukweli mwamba amefikia hatua hata siku akiachia clip anapiga muayo usishangae ikaenda on Trending na...
1 Reactions
4 Replies
734 Views
Nimeona Leo nyimbo 2 za Diamond Platnumz zikichezwa
2 Reactions
3 Replies
773 Views
Back
Top Bottom