APPLE-01
NA
Tumain Ernest Stanslaus
Test van pream(Tvp)
Phone;0684024387
‘’Narudia tena, siwezi kumuamini mwanamke yeyote hapa duniani hata siku
moja , labda mama yang utu ambaye kidogo nayeye...
Nikki wa Pili kwa Mara ya kwanza aliingia studio na kufanya kolabo na Joh Makini mwenye wimbo wa Niaje Nivipi na nathubutu kusema sijawahi kusikia mashairi mazito na yenye ujumbe kama haya katika...
Kamwene wakuu. Wakati tukiwa tunaendelea na riwaya ya 'Mkono wa Chuma' iliyotungwa na Alex Kileo, kwa mara nyingine napenda kuwakaribisha tena katika riwaya nyingine ya kusisimua. Riwaya hii mpya...
Habarini wanajamvi:
Hakika kwa mafanikio ya hii album ya RAYVANNY-SOUND FROM AFRICA na diliki kusema kuwa GRAMMY AWARD huu mwaka RAYVANNY atabeba kiuraini na pia kuchukua MTV MAMA Kama listener...
Huwa najiuliza hili swali mara kwa mara wakuu, leo lazima mnipe majibu mtake msitake.
Hivi ni kwanini kwenye show za Michael Jackson watu walikua wanazimia.
Katika nyimbo zote basi huu wimbo...
Msanii wa Bongoflava bwana Naseeb Abdul alias Chibu ameachia nyimbo ya kumsifia mama Samia, isikilize hapa [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] and give your review/critcs
Mtu anakwambia hilo no jina la kiislam,kikristo n.k
Kuna majina ya Kiswahili, kingereza, kifaransa,kiebrania, kigogo, kipare, kimatumbi n.k
Muhinu mpe jina mtoto lenye maana nzuri liwe la...
Wadau habari,kumejengeka utamaduni usiofaa wa kubeza,kukejeli na hata kutusi pale wawakilishi au muwakilishi wetu kwenye shindano au mashindano fulani anapo_fail. Binafsi sijui roho hii mbaya...
Wadau kama uzi unavyosema,Kila kitu ni fursa kama ukitaka kiwe fursa
Hapa kuna burudan na fursa.
Kwa maaan kama kutakuwa na kundi la watu weny uwezo wa kuview na kusubscribe basi itafikia hatua...
The giant Julius mwenye urefu wa futi 7 na nchi 5 aliyezaliwa wilayani Chato miaka 26 iliyopita ametajwa kuwa ndiye binadamu mrefu zaidi nchini Tanzania kwa sasa.
The giant Julius amesimulia...
Mimi ni mpenzi wa Muziki aina cha Chakacha , Leo nilikuwa natazama katika youtube nikapata vibao vifuatavyo .
Tafadhali angalia hizo chakacha
Spider Ningejua
Mzee Yusuf Unanyodo...
Hivi ndo vipindi vikubwa vya burudani kwa sasa.
XXL-Adam Mchomvu,KenedyTheRemedy,Meena Ally,MamyBaby.cloudsfm
Empire-Bdozen,Jonijoo.Efm
The switch-Lilommy,ray,amygal.Wasafi fm
Kura yako...
Oohh..leo nimepata muda kidogo asubuhi hii.
Nimeutumia muda wangu wa masaa mawili kutazama movie ya The Huricane iliyoigizwa na mwigizaji maarufu Denzel W..Hii ni movie ya maisha ya aliyekuwa...
Kabla mwaka haujaisha una list ngapi ya game nzuri za kwenye simu yako iwe Android au iOS , Kuna hili game linaitwa BUS SIMULTOR ULTIMATE limeletwa na kampuni ya ZUUKS GAME .
Lina nafasi ya 600+MB...
Japo ziko black and white, kuna movies zina akili na waigizaji mahiri sana. jaribu udownload bluray na utafute subtitles kutoka subscene.com harafu uenjoy movie hizi kali.
1. Gone With The Wind...
#TBT
Album gani ya Bongo hasa zile za kitambo ilikuwa kali kiasi cha kushindwa kuskip hata ngoma moja. Najua Album zilikuwa zimeenea sana..
Mimi Album ya A.K.A Mimi ya Albert Magwair kwangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.