Tokea nimalize kuangalia GOT bado hakuna series iliyo attract my attention Sana mpaka nilipokutana na hii Series.
Kisa Ni Black man jamaa anaitwa Atticus alitoka jeshini south Korea, enzi hizo za...
Mziki wa zamani kwa asilimia kubwa ulifanywa kwa makundi na tumeshuhudia makubndi mengi sana Bongo yaliyohit sana na kusaidia kuusogeza muziki wa Bongo kwa kiasi fulani.
Katika kuyakumbuka makundi...
DUKA LA ROHO
SEHEMU YA 1.
SAA 2:50 ASUBUHI.
JIJINI DAR ES SALAAM, MAENEO YA SINZA AFRICA SANA.
Wanaonekana watu wawili wakiwa wanafukuzana huku mfukuzaji akiwa kakamata bastola aina ya Baleta...
Habari za leo wakuu,
Leo nimekuja na song la my best friend anaitwa Aisha, song linaitwa stay.
Kila nikiingia youtube naona viewers wanaongezeka kwa kasi mnoo. Hii inatangaza hali hatari kwa...
Kuna kazi nyingi sana za riwaya za kipepelezi ambazo zimetungwa na waandishi mahiri hapa nchini kama Ben Mtobwa n.k hali kadharika riwaya za kawaida kama za maisha. Je ni zipi zaidi zinapendwa na...
Doh! Washkaji nendeni XXL DJ Sinyorita kakinukisha huko doh! Huyu demu siyo mtu mzuri anapiga mix za kufa mtu yaani alivyonimiksia ile ngoma ya gyptia halafu akagusa roko ya mtaalam tyga aaaahhh...
Tuzo za Billboard mwaka 2020 zimemalizika usiku wa kuamkia leo, Post Malone ameibuka kinara kwa kuondoka na tuzo 9 mkononi.
Malone amenyakua vipengele vya; Top Artist, Top Male Artist, Top...
Habari,
Navutiwa sana kupiga mziki hasa kwenye halaiki. Natumia simu na power-mixer huku watu wanapiga mziki kishamba sana.
Au telegram channel ambayo inahusisha haya mambo
Huyu the Weeknd ana-sound kama Michael Jackson ukisikiliza hii Starboy,Call out my name,The hills, N.k Ni hatari sana.
Justin Bieber mtaalamu wa Sorry,What do you mean,Love youself, n.k
Nani...
Kuna jamaa alikuwa mwendeshaji wa kipindi cha "HIP HOP BASE"EATV Miaka ya 2007.mwenye kufahamu huyu jamaa yupo wapi?na anafanya nini anijuze tafadhali.
MSALITI ASAKWE - 1
IMEANDIKWA NA : PATRICK J. MASSAWE
*******
Simulizi : Msaliti Asakwe
Sehemu Ya Kwanza (1)
MAJIRA ya saa nane za mchana, walionekana vijana watatu, wakiwa wamekaa upande wa baa...
JULAI 7
story by richard MWAMBE
Dunia inakumbwa na wimbi la ugaidi,
matukio ya kutisha yanayopoteza maisha
ya walio wengi katika pande mbalimbali
za dunia ikiwemo Afrika hususan...
MTUNZI Amata Gaimba
Sehemu 1
SEHEMU FULANI HUKO AFRIKA MAGAHARIBI
MACHO YANGU yalikuwa mazito sana kiasi kwamba iliniwia ngumu kuyafumbua. Haikuwa rahisi kwangu, nilijaribu kutumia nguvu ya...
RIWAYA: HAMUNAPTRA - MJI ULIOPOTEA
MTUNZI: Richard MWAMBE
MAHALI: BAGAMOYO
SIMU: 0766974865
Riwaya ya kufikirika, itakayokupa taharuki, tafadhalisoma kwa makini ikiwezekana rudia mara kadhaa...
Sehemu Ya Kwanza
Kwa Majina naitwa Kelvin pia James, Haya ni majina ambayo sikupewa na wazazi wangu Bali nilijibatiza mwenyewe lengo hasa likiwa Ni kujibland wakati najitambulisha mbele za watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.