Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Habari za humu Wanajukwaa Binafsi natamani sana kujifunzaa gitaa. But nina maswali kidogo kuhusu hiki kifaa kwa wataalamu ambao wanaujuzi nalo 1. Naweza nkatumia muda gani kujifunza gitaa? 2...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kwa mujibu wa METACRITIC hii movie ndio Movie bora dunian mwaka 2019,na pia ikishika nafasi ya 42 katika movie bora katika Muongo uliopita. Mtandao maarufu wa Unaohusika na ku rate movies duniani...
3 Reactions
10 Replies
4K Views
Kama kichwa cha Habari kinavyotanabaisha hapo juu mimi ni hizi: 1. Lone Survival 2. 24hrs 3. The Unit 4. 5 Je, wewe?
1 Reactions
4 Replies
862 Views
ALI KIBA AOMBA MWALIMU NYERERE ATENGENEZEWE ‘DOCUMENTARY’ Msanii wa muziki wa kizazi kipya Ali Kiba amemuomba Rais Magufuli atenge bajeti ya fedha zitakazotumika kutengeneza ‘documentary’ ya...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
'A Cure For Wellness' Lockhart anakutana na baadhi ya maboss zake kujadili barua iliyotumwa na Boss wao (CEO) Pembroke kwamba hatarudi tena na wasimtafute. Kitu kinachowafanya wawe na mashaka...
0 Reactions
2 Replies
838 Views
Hata ingekuwa wewe, kwa yule mwenye nyumba ungelianzisha valangati la nguvu. Sijui hata nianzae wapi kukuambia siku uzalendo uliponishinda, lakini niliamua "kumnywea" mpaka "nilipopendeza"...
0 Reactions
2 Replies
882 Views
Wakuu kwanza poleni na majukumu. Naombeni mnitajie zile ngoma kali za taratibu(slow kabisa) Mfano Ed Sheeran__Thinking out loud Enrique Iglesias_Hero Mnaozifahamu shusheni Playlist hapa...zile...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limesema taarifa za kuufungia wimbo wa ‘One time’ wa Judith Wambura maarufu kama Lady Jaydee si za kweli. BASATA wamesema walimuita kumpa maelekezo msanii huyo...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
SEHEMU YA KWANZA Kanisa lilibaki na mshtuko mkubwa waumini nao hawakuamini tukio waliloliona mbele ya macho yao. Padri alibaki akiwa amezubaa hakujua nini kinaendelea kanisani hapo pindi Laurance...
2 Reactions
7 Replies
4K Views
Wimbo uliobuniwa na Timu ya CHADEMA kwa ajili ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020 unaweza kuwa ndiyo wimbo Bora kabisa kwa Chaguzi za hivi karibuni. Wimbo unaitwa "AIYAYA CHADEMA" Sikiliza mwenyewe...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jina la msanii: Mejja Jina la wimbo: Niko Poa Nchini: Kenya huu ni okonkwo tangu nikuje Nairobi watu wangu wa Majengo sijawasahau skia hii Verse 1 bro najua nimekosa sana ndio nimeandika hii...
1 Reactions
0 Replies
917 Views
Haina ubishi wakuu hakika hili ndio litakua hiphop kali na lenye beat funiko mwaka 2020. Beat lake tu ni hatari. Kama una sabufa lako jirani hapo jaribu kuconnect utasikia bonge la dundo.
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za weekend wanajamvi. Moja kwa moja kwa mwenye kujua ni series au movie gani inaleta raha na kufurahisha hasa ukiwa unaangalia na mke au mpenzi wako. Iwe ya aina yoyote ile ila sio (pono)...
3 Reactions
50 Replies
9K Views
Niliacha kutazama hizi filamu za kitanzania kwa sababu ya makosa mengi ya dhahiri kuanzia uigizaji na matukio yanayoendana na filamu zao. Kuna mwigizaji hivi karibuni amejitokeza kwa filamu zenye...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hii ni kwa wale wapenda movie huwa tumezoe kuona wengi huwapenda sana mahero/starring kwenye movie kushinda maadui mm ni mmoja kati ya watu ambao wanaopenda sana maadui kushinda mahero/starring...
5 Reactions
71 Replies
9K Views
My Soulmate Episode 1 Produced by EquatorStory Specials Stela :”Nickson uko wapi jamani ?? Mpaka sasa umechelewa sana.”. Ilikuwa ni sauti ya stela akimngojea mpenzi wake Nickson alie kuwa njiani...
2 Reactions
125 Replies
22K Views
Kwa kweli hata mimi sijui jina lake, wala aliyeupiga. Ingawa hata mimi ninaupenda huenda kuliko yeye. Laki yeye ndiye anahitaji aupakie kwenye simu yake sasa hivi! Sasa nafanyaje ili nipooze kiu...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Leo nataka tushare kidogo kuhusu apple music, kama tunavojua nje na kuproduce simu, Pc, watches, tv etc apple pia wana app ya music digital streaming services . Apple Music launched june30,2015...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Zuchu ameachia ngoma yake ambayo amemshirikisha msanii kutoka Nigeria JOEBOY ngoma inaitwa NOBODY humo ndani zimechanganywa lugha mbili kiingereza na kiswahili Sent from my SM-A107F using...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Hivi kati ya Justin Bieber na Bruno Mars nani zaidi? Watu wamuziki tusaidiane kidogo hapa..
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Back
Top Bottom