Wadau,
Netflix huwa wanatoa different contents according to location. Walioko USA hawawezi pata same contents kama aliyepo Tanzania. Kuna show ziko restricted according to location.
Nikitumia...
James Bonds pitted against each other in viral videoBy Mike Krumboltz | Movie Talk 6 hours ago
(AP Photo/File)We all know James Bond is unkillable. He's survived explosions, deadly top hats, a...
Katika pita pita yangu youtube nikakutana na nyimbo za wasomalia asee ni nzuri mno japo sielewi waimbacho ila nimependa nyimbo zao kuanzia melody,beat,uvaaji na sauti
Hizo apo ni baadhi ya nyimbo zao.
Mzuka,
Bado najiuliza huyu mwamba wa Country Alan Jackson alinipitaje nisimjue vizuri na kupenda nyimbo zake muda mrefu huo wote?
Huyu mwamba ni hatarii Aisee. Ana nyimbo kali sana za country...
Mambo vip wakuu, natafta platform, link or club yoyote ya wapiga vyombo vya mziki(Guitar) apa DSM ambayo may be watu hukutana hata once(weekend) kwa week kupractice. Nina Acoustic Guitar ila...
Wakuu wana JF,
Hii nyimbo nivute kwako ya Diana Nyange ft Barnaba ni nyimbo nyepesi sana kwa masiko ya kawaida! Lakini kimapenzi huu wimbo una kumbukumbu nyingi sana kwa wengi!
Wewe una...
kila siku natamani kwenda hii sehemu naiaikia saana, mwisho wa mwezi huu Mshahara ukitoka nataka nizame huko, naomba mwenye kujua napanda gari za wapi nashuka wapi, jinsi ya kufika naomba kujuzwa...
Habari!
Kukuza ubora wa league pia hata media zinachangia nafasi kubwa sana.
Azam media mmekuwa na poster hazina mvuto, maana ilitakiwa hata mtu ambaye hafatilii mpira akikutana na poster nzuri...
Hello,
If you want an application to be able to watch sports channels in Brazil, especially football. You can download playtv geh at TechBigs
Do you know other good apps?
IMEANDIKWA NA : RICHARD MWAMBE
*********************************************************************************
Simulizi : Kitanzi Cha Mwisho
Sehemu Ya Kwanza (1)
Maisha yanayotuzunguka yana...
" Muda si Mrefu @rayvanny anenda kuanzisha Lebo yake . Studio yake ndio itakua Studio Kubwa zaidi hapa Tanzania ..
Hakuna anaezuiwa kuanzisha Lebo ndani ya @Wcbwasafi_ , hata Drake ana Lebo yake...
Hello Everyone,
My name is Brian White love to watch movies, recently watched Man in Black 3 movie at my home with my friends. This was so interesting movie, i enjoyed it a lot.
Here you...
TURUFU YA MWISHO
Aliporejea Tanzania baada ya kuwa nje kwa miaka saba, alikuwa na matumaini makubwa ya kumkuta mdogo wake Celine akiendelea vyema na masomo. Hakuamini baada ya kugundua...
Hii ni series nzuri mno kama we ni mpenzi wa historical (Sageuk).
Plot
Story inaongelea maisha ya Mwanzilishi wa Taifa la Joseon (Korea). Jang Do Jeon msomi na mwanaharakati katika utawala wa...
Utenzi wa Waliobaki. Subirini huko huko Mlioenda
Sisi tuliobaki, kura tutahakiki
Wizi hatutaki, uhuni hatubariki
Kura ni yetu haki, mashetani hatuwataki
Mitandao tutaitumia, habari kuwatumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.