Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Maana huku mikoani kuna wasanii wa ndani lakini hata hawajulikani na hata media kama radio za ndani ya mkoa hazipigi nyimbo zao.haziwatambui kiujumla
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ahlan wasahlan wanajamvi, Hopefully mko poa. Ni yule yule mzee wa kuumiza gonamwitu a.k.a Santiago Pandamunio a.k.a Masokolindo Mavi ya Kuku. Back to the topic. Kiukweli kunako viunga vya WCB...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
DEDICATED TO IBRA87 RIP, Inspired by true story. UTANGULIZI Katika maisha mapambano hayaepukiki,Wakati wa kutunga mimba mbegu moja ya kiume hupambana na zingine milioni 45 kurutubisha yai...
6 Reactions
90 Replies
20K Views
Nigeria ni nchi ambayo imeendelea sana ukiacha maendeleo ya kiuchumi na kijamii kwenye upande wa burudani wapo vizuri. Wanaijeria ndo wameshikilia soko la muziki na filamu Afrika nzima. Wana...
1 Reactions
3 Replies
764 Views
Nashukuru sana uongozi wa serikali ya wanafunzi wa chuo cha Usimamizi wa Fedha IFM kwa kunialika kama mgeni rasmi. Leo katika Matembezi ya Amani na wanafunzi wa vyuo kupinga dhana potofu kwa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Miaka mingi imepita na siku nazo kusonga tangu Familia ya Mr Spafford aliyeishi huko Chicago Marekani kupatwa na dhoruba na mtikisiko mkubwa na huzuni kuu isiyo na kifani. Mr Spafford alikuwa...
27 Reactions
94 Replies
8K Views
ONYO Hairuhusiwi chini ya miaka 20 UTANGULIZI Kinukamito, ni mwanamke asiyedumu katika mahusiano au ndoa kutokana na sababu mbali mbali. Kusema ni mwanamke ambaye hudhaniwa ana mkosi kutokudumu...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari wana JF! Please, kama kuna mtu ana kile kibao cha yule mwanamuziki Munishi kinachoitwa CCM naomba anipatie hapa. Yule jamaa yupo wapi siku hizi? "miss sana yule mtu"
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Huyu jamaa ana kipaji hadi upande huu haha
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Huu wimbo ni mzuri na nimeusikiliza japo Diamond Platnumz kaimba sehemu ndogo sana peke yake, ila sehemu kubwa kafanya Back-Vocals. Mwanzo mzuri kwake na natumai atatumia nafasi hii kujinoa vizuri...
4 Reactions
36 Replies
6K Views
Kuna Madogo flan walikuwa sijui mapacha,walikuwa maarufu sana kwa ku burn cd ,yaani tulikuwa tunajazana pale kusikilize cd zetu,kijiwe hicho hicho alikuwa anashida sana Linex akiwa hana hata 100...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
PLEASE THIS SPECIAL SONG IS TO WISH "HAPPY BIRTHDAY" TO ANYONE, Enjoy it. Welcome to my New animated video song Live for "HAPPY BIRTHDAY" to wish our friends.
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Wakuu, naomba kujuzwa local channels za TZ zinaoonesha mieleka (TNA na WWE) katika kisimbuzi cha Azam
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ijumaa ya tarehe 18 mwezi huu wa 9 inatarajiwa kutoka Album ya mwanamuziki nguli kutoka nchini marekani, Alicia Keys. Album hii itakuwa ni Studio Album ya 7 kutoka kwa mwanamuziki Alicia Keys...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Wimbo unaitwa “Ongeza”
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu bila shaka mpo fresh kiafya. Kwa wale wataalamu na wenye ufahamu kuhusu muziki naomba mje tusaidiane hapa kidogo ni hivi. Wanatumia kigezo gani kusema nyimbo flani imekuwa...
0 Reactions
0 Replies
822 Views
Jamaaa namkubali Sana'a Sana'a anainspire vijana wengi but mbona kama anafifia hivi, ngoma hiz tatu zilizotoka hivi karibuni mbili akishirikishwa Nyie mnaonajeee
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Rapper wa Kike Rosa Ree amefanikiwa kuwepo katika orodha ya wasanii wanaowania tuzo za AFRIMMA Mwaka huu, Amechaguliwa kuwania vipengele viwili ambavyo ni Mwanamuziki bora wa kike Afrika...
0 Reactions
0 Replies
980 Views
..Alikuwa mtaani..ndani ya orleans..hakuijua kula yake kama maskini wengine wa pale...akayakubali hayo..akayaishi maisha yake.. ..Douglass binder..pamoja na hali yake ya kukosa mahitaji...
25 Reactions
32 Replies
4K Views
Back
Top Bottom