Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Namuangalia idris katika utengenezaji wa filamu bongo, tuseme wazi jamaa anakuja vizuri, kuanzia ubora wa kazi zake DANGA na leo kachia kazi nyingine NDOMU (nadhani ni promo ya condom mpya)...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Sehemu ya 1 Nilitoka kazini nikiwa nimechoka sana nikaamua kurudi nyumbani moja kwa moja tofauti na siku nyingine ambazo nilipitia hapa na pale nikiwa na lengo la kupoteza muda kabla sijarudi...
2 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari zenu, Kama title ilivyojieleza. Karibuni tukutane hapa.
10 Reactions
331 Replies
25K Views
Asalaam aleykhum wanaJF, Tuzo za Afrimma 2020 zinatarajiwa kufanyika mwaka huu, tayari wameshatoa majina ya nominees na vipengele vyote. Kitu pekee nilichokipenda ni jinsi ambavyo wamezigawa tuzo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wimbo maalumu kwa ajili ya kupongeza juhudi za mh.Rais Dr.John Joseph Pombe Magufuli.
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Mtoto wa Mwarabu mhamiaji aliyeitikisa Nchi kwa muziki MOJA kati ya matukio ambayo wakazi wa Morogoro na Tanzania kwa ujumla hawatoyasahau ni kuondokewa na mwanamuziki bora sana kitaifa, Salum...
3 Reactions
9 Replies
3K Views
KINU CHA MAMA Mussa N. Abubakari UTANGULIZI. Hii ni bunilizi tu. Usijaribu kugeuza maoni kuwa ukweli na kuharibu maisha ya watu. ZINDUKO; Moja ni jibu, Ngono hutibu. 1. Romantic Star Alishuka...
3 Reactions
29 Replies
97K Views
Kama nimkongwe fatilia biti alotumia Harmonize kwenye wimbo wake wa jeshi utasikia biti moja kali sana linasikika ambalo alishawahi kulitumia Chege na temba kwenye wimbo wao wa twenzetu kasoro ye...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kwa anayeifahamu hii movie msaada jamani wa jina lake
0 Reactions
4 Replies
700 Views
Your can be a soldier without combat and army, be a soldier in your destiny, be a soldier to your carrier and have fun being a self soldier. Myself iam a soldier in my position as musician...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu wanaofahamu naomba kufahamishwa tafsiri ya wimbo KIJITI wa Marehemu Bi kidude. Baadhi ya maneno ni "Tazameni tazameni alivyofanya kijiti, kumchukua mgeni kumchezesha foliti, kenda nae...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Leo Dunia inaadhimishwa Super Human Day ambayo ni siku maalum ya kuwatambua watu ambao ulemavu haujawazuia kufanya mambo makubwa kwenye jamii. Embu Kama Mwana Jamii Forum Embu Mtaje Mtu Mwenye...
1 Reactions
4 Replies
698 Views
Love him or loath him, Magu got rhythm. He can dance. Ila bado sielewi kwa nini hao walinzi wake wanavaa njano na kijani za CCM!
2 Reactions
48 Replies
3K Views
Aiseee kuna watu wanajua sanaa ila FIREBOY ni moja wa wasaniii wakali sana kwa sasa Nigeria huwezi ongea kuhusu mziki ukamuacha huyu mwambaa... Ametoa album mpya inaitwaa APOLLO baada ya LTG...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Mama Omary, mama aliyeishi maisha ya kifahari akiwa na mumewe miaka ya 1990s. Mume wake alikuwa anafanya kazi wizara ya Fedha miaka hiyo na bahati mbaya alipata ajali wakiwa kwenye shughuli za...
6 Reactions
24 Replies
3K Views
Janeth ni mwanamke mwenye urembo wa asili lakini alikuwa anapendwa kwa rangi yake yangozi na sura ndogo ya raundi, macho yake ya kurembua, sauti ya kubembeleza kama kinanda. Umbo lake simple na...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwako sikujua wangu, Sikujua mpenzi wangu wa jadi,wa zamani,Leo hii nina mengi yakukujulisha ,naomba dakika zako chache.Nisikilize,nakuahidi sitachukua,sitakuyang’anya mda wako.Nimeandika barua...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
NIDA Wamesitisha Kutoa Copy za Vitambulisho Mtandaoni 44 minutes ago [https://1] Leo January 30, 2020 Nakusogezea hii taarifa mpya kutoka Mamlaka ya Vitambulisho Taifa NIDA ambapo wasitisha...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wyu8pfjkk
0 Reactions
6 Replies
1K Views
NJIA PANDA YA VWASU (Simulizi ya Huba) DAVID NGOCHO SAMSON 0629077792 01 Naikumbuka vema ile siku. Alinipigia simu, nami nikaipokea kwa bashasha na furaha tele. Huyu alikuwa mpenzi wangu...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Back
Top Bottom