Wakuu wapenda movies ningependa kushare nanyi njia rahisi sahihi na pekee ya kupata movie/series yoyote uitakayo yenye rank ya IMDB ambazo zinakimbiza duniani toka dunia iumbwe hadi leo tar 19Ag...
Leo naomba tushee kitu kimoja tuone kama tutapata movie maniac mate humu. mimi napenda series za drug dealer zaidi na zile ambush ambush zao haswa zikichezewa amerika ya kusini kuhusisha na...
Habari za muda huu wakubwa. I hope mko fresh, Eeh bhana Jana ya tarehe 20 mwezi wa4 2020 ambayo ilikua ni siku ya kuvuta bangi duniani, Good weeda smoke Dadiyeeh in da world.
Iyo siku ya Jana...
Tanzania kuna ladha mbalimbali za mziki kama vile
A. Bongo flava
B. Bongo hip hop
C. Bongo Boringo au mziki wa dansi
D. Bongo Crank
E. Mchiriku
F. Singeli n.k n.k
Sasa huwa najiuliza ila sipati...
Niaje wakuu hii tv show aise iko poa sana kwangu kuanzia stor hadi cast wake.hasa MASTER ndio ananifuraisha sana na ANGELA ABRAHAM maana dada anakinukisha balaa
"BABA KAMA PUNDA JAMANI"
"KISA CHA KWELI, CHENYE KUSISIMUA"
Umri__
Naitwa Koga nimezaliwa mkoani Shinyanga vijiji
Mimi ni binti wa kisukuma, maisha yangu ukubwani
nikiwa binti mkubwa niliyaishi...
...Taarifa ya kuwa baba yake kabakiza muda mfupi wa kuishi duniani ilimkuta akiwa nyuma ya nondo..
..Wakati hajajua aipokee vipi habari hiyo ni siku mbili mbele..akafungwa pingu akahudhurie...
Twende kwenye mada ndugu zangu tatizo gharama za king'amuzi zimepanda sana hivi kwa wenye welewa tatizo ni nini hasa.
Kupanda kwa gharama namna hii hasa kipindi hiki.
bomba la mbele-01
Nlikuwa nimetoka kwenye harakati zangu za kutafuta riziki na muda huo ilikuwa Ni majira ya SAA 2 usiku
nikirudi getto kwangu maeneo ya kigogo, siku hiyo ilikuwa Ni ya bahati...
Huwa ninapenda kuangalia movie za kibongo.
Ingawaje tunajitahidi kwenda na wakati, lakini naona kuna makosa kibao ya wazi tunayafanya ambayo yangeweza kuepukika.
Editing
Kosa kubwa la kwanza...
..Ni John cale..capitol police officer..baba wa mtoto mmoja wa kike..
..Alimuahidi binti yake kuwa angepata kazi kwenye ikulu ya marekani..kama special agent..mtu anaeangalia maisha ya raisi kwa...
..Alikuwa shahidi wa horrors of a brutal regime kwenye taifa la Turgistan..aliona asichopaswa kukiamini...
..Hakupenda mauaji ya kikatili waliyofanyiwa wasio na hatia kwenye nchi hiyo...ila...
Meli iliyobeba cesium..kemikali zenye sumu zinazoweza kutengeneza silaha za hatari na kuua mamia ya raia wasio na hatia..
..Ilikuwa inahitajika kuwasili..na ilihitajika kuzuiwa isiwasili...
..Mkutano mkuu unaowahusisha wanasayansi wakubwa duniani..Dr. Martin Harris alipokea mwaliko..akafunga safari mpaka ujerumani..mkewe akiwa pembeni..
..Ni ndani ya mji wa berlin kwa ajili ya...
Habari wana jamvi, nimekua nikikutana sana habari za hawa watu, lakini sijuwi nikina nani, chakushangaza leo wakati nasoma lyrics za luck dube kwenye nyimbo ya freedom fighter nikakutana tena na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.