Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Mapenzi si mabaya.. hebu acheni kuzua.. Hivi hamuoni haya..eti mapenzi yanaua.. Nipo chini ya himaya.. polepole naugua.. Wazuri niwengi ila kwako nimetua.
0 Reactions
1 Replies
789 Views
Oook
0 Reactions
2 Replies
852 Views
Hhj
3 Reactions
4 Replies
784 Views
Nimekuwa mfuatiliaji wa muziki wa REGGAE kwa muda mrefu sana. Nikiri wazi kuwa muziki wa Reggae ni mziki bora zaidi duniani kwa mtazamo wangu. Hata uandaaji wake nahisi ndio mziki pekee hutumia...
0 Reactions
0 Replies
412 Views
Kyij
0 Reactions
2 Replies
761 Views
IF YOUR LOVER HATRED YOU, GIVE HIM/HER THIS SONG. . New video song "GO AWAY" for Lovers in Hatred, watch now to remove Stress alongside Don Nalimison.
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Tanzania nimetafuta movie ya Bongo ambayo Starring ameigiza Kama Raisi wa Nchi isitoshe hata Waziri sidhani kama ipo. Na nyie mnisaidie Kama ilishawahi tokea Hiyo hapa Tanzania. Hata mtu akisema...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
. New video "DEAR MAMA", watch my New 3rd video song for "DEAR MAMA" LIKE IT, SHARE IT, SUBSCRIBE IT & COMMENT FOR IT if you Love your Mama.
4 Reactions
26 Replies
4K Views
Ahlan wasahlan wanajukwaa, Huyu kijana wa kuitwa Mbosso "Khan Mushedede" kutoka viunga vya WCB kiundashi, melody na hata jinsi anavyoimba yuko njema. Shida yake ni moja tu: habadiliki, kila siku...
18 Reactions
88 Replies
11K Views
Kkk
0 Reactions
0 Replies
746 Views
Iij
1 Reactions
5 Replies
755 Views
MAISHA NA SIMULIZI ZA MAFUNDISHO STORI YA KWELI YA AJABU NA YAKUSISIMUA Kulikuwa na mzee mmoja ambaye alikuwa tajiri sana, Mzee huyu alibahatika kuwa na binti mmoja na ambaye alimpenda sana na...
5 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndugu zangu, Nimefatilia sana hizi movie za Mongo Movie, lakini kwenye scene wanazocheza kama askari polisi kwakweli hawazingatii weedi zaidi wanalidhalilisha jeshi letu. Mara nyingi unakuta...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Nimekuwa nikisoma hapa jukwaani jinsi series hii inavyosifiwa lakini sijajua inahusu vitu gani, nikahamasika kuinunua, Nimenunua season ya kwanza hadi ya mwisho, Nimeanza na episode ya kwanza...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Ninaona uvivu kuandika. Ila pointi ya msingi ni kwamba lile pambano ambalo tulikuwa tukilisubiria kwa hamu hatimaye kimeeleweka. Hatimaye siku ya tarehe 28/8/2020 tutashuhudia tena kwa mara ya...
2 Reactions
169 Replies
16K Views
DARASA LA TANO C: WAZEE WA KUENGUA Na, Robert Heriel Leo nitasimulia kwa mtindo wa Filamu. Hii ni filamu ya maandishi. Karibu sana Mpenzi Msomaji. Picha letu linaanzia katika maeneo ya shule...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Sote tunajua jinsi nyimbo zinavyoamsha hisia na kuondoa mawazo wakati mwingine.. Kuna watu husema "Favorite songs" Yaani wimbo wangu pendwa Mashairi katika wimbo pendwa huwa ni ujumbe ambao mtu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
. Special Song for African Union (AU) and United Nation(UN),"AFRICAN PRISON" watch it and enjoy it to build New African Prisons..KEEP LOUD.
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau,naombeni msaada mwenye wimbo wa Ally star-natanga na njia aliouimba akiwa TOT anitumie
0 Reactions
8 Replies
12K Views
Katika movie zangu kali za mwaka huu ni hii
3 Reactions
126 Replies
15K Views
Back
Top Bottom